Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kufuatilia na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu zote za kujikimu kwa mujibu wa mwongozo uliopo.
Tumepokea malipo hayo baada ya kuchelewa kwa muda mrefu, lakini tumeshangazwa kulipwa kiasi cha nusu tu ya fedha tunazostahili. Baada ya hapo tumeambiwa kuwa hayo...
Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, tunaomba Wizara na viongozi husika kutusaidia ili tulipwe fedha zetu za kujikimu na nauli kwa kiwango kinachostahili.
Tumelipwa kiasi kidogo sana ambacho hakilingani na kiwango kinachotarajiwa, na pia ni tofauti na malipo yaliyotolewa kwa...
Anonymous
Thread
ajira mpya
kujikimu
mkoa wa songwe
swala
wilayayaileje
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa watanzania kuendelea kudumisha umoja, amani, upendo na mshikamano akiamini kwa kufanya hivyo ni kuimarisha Tunu ya msingi wa maendeleo katika Taifa lililoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume.
Bi Mgomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.