Who I Am Not is a 2023 documentary film exploring what it means to be intersex in a binary world, directed by Tunde Skovran. It is her directorial debut. The documentary is produced by Andrei Zincã, and the executive producer is Oscars,Emmy,GLAAD Vanguard Award- winner Patricia Arquette. Greenwich Entertainment acquired rights to the film.
Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa.
Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
Ndugu zangu Watanzania,
Taifa letu siku zote limekuwa la Kumtanguliza,kumtegemea na kumtumainia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Ni Taifa ambalo limekuwa likijiweka mikononi mwake Mungu kwa kila jambo.
Limekuwa ni Taifa la kujinyenyekeza na kuutafuta uso wake Mungu wakati wote,limekuwa ni Taifa...
Uzoefu katika sekta ya afya, ushauri kwa jamii, uongozi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na uwezo wa kuvutia ufadhili na mikopo nafuu katika sekta ya afya ni miongoni mwa mambo aliyoyanadi Profesa Mohamed Janabi, katika mdahalo wa uchaguzi wa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu.
Uteuzi huo unakuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda...
Wakuu,
Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.
Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi
Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amempongeza Dk Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika.
Dk Ndugulile ambaye ni Mbunge wa Kigamboni (CCM), jijini Dar es Salaam amechaguliwa jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.