white house

The White House is the official residence and workplace of the president of the United States. It is located at 1600 Pennsylvania Avenue NW in Washington, D.C. and has been the residence of every U.S. president since John Adams in 1800. The term "White House" is often used as a metonym for the president and his advisers.
The residence was designed by Irish-born architect James Hoban in the neoclassical style. Hoban modelled the building on Leinster House in Dublin, a building which today houses the Oireachtas, the Irish legislature. Construction took place between 1792 and 1800 using Aquia Creek sandstone painted white. When Thomas Jefferson moved into the house in 1801, he (with architect Benjamin Henry Latrobe) added low colonnades on each wing that concealed stables and storage. In 1814, during the War of 1812, the mansion was set ablaze by the British Army in the Burning of Washington, destroying the interior and charring much of the exterior. Reconstruction began almost immediately, and President James Monroe moved into the partially reconstructed Executive Residence in October 1817. Exterior construction continued with the addition of the semi-circular South portico in 1824 and the North portico in 1829.
Because of crowding within the executive mansion itself, President Theodore Roosevelt had all work offices relocated to the newly constructed West Wing in 1901. Eight years later in 1909, President William Howard Taft expanded the West Wing and created the first Oval Office, which was eventually moved as the section was expanded. In the main mansion, the third-floor attic was converted to living quarters in 1927 by augmenting the existing hip roof with long shed dormers. A newly constructed East Wing was used as a reception area for social events; Jefferson's colonnades connected the new wings. East Wing alterations were completed in 1946, creating additional office space. By 1948, the residence's load-bearing exterior walls and internal wood beams were found to be close to failure. Under Harry S. Truman, the interior rooms were completely dismantled and a new internal load-bearing steel frame constructed inside the walls. Once this work was completed, the interior rooms were rebuilt.
The modern-day White House complex includes the Executive Residence, West Wing, East Wing, the Eisenhower Executive Office Building—the former State Department, which now houses offices for the president's staff and the vice president—and Blair House, a guest residence. The Executive Residence is made up of six stories—the Ground Floor, State Floor, Second Floor, and Third Floor, as well as a two-story basement. The property is a National Heritage Site owned by the National Park Service and is part of the President's Park. In 2007, it was ranked second on the American Institute of Architects list of "America's Favorite Architecture".

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

    Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump. Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri. Kwa mujibu wa...
  2. White house ya nchi ya Mtanila mpaka sasa imetumia 30b. Hadi maji ya kunywa anaagiza US

    Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda. Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
  3. Watanzania kushambulia page za white house na Trump sio jambo zuri

    TCRA wanamuandama sana Mange kimambi. Uchafu wa serikali anaopost badala ya serikali kuufanyia kazi ,TCRA wabapambana account ya Mange kufutwa. Mange ameamua kumobilize followers wake kushambulia page za white house na za Rais Trump uko Instagram. Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye...
  4. kulu ya White House yanasema Trump ana ugonjwa wa sugu wa mshipa

    Donald Trump anaugua ugonjwa sugu wa mshipa, Ikulu ya Marekani ilitangaza siku ya Alhamisi, baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu picha zinazoonyesha michubuko kwenye mkono wa rais huyo wa Marekani. Baada ya hivi karibuni kupata uvimbe kwenye miguu yake, Trump alifanyiwa "uchunguzi wa kina"...
  5. U

    Trump atatoa wiki mbili zaidi kwa ajili ya diplomasia kabla ya kufanya uamuzi kuhusu shambulio la Marekani dhidi ya Iran

    Trump atatoa wiki mbili zaidi kwa ajili ya diplomasia kabla ya kuamua juu ya shambulio la Marekani dhidi ya Iran, yasema Ikulu ya White House Msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, alizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari Alhamisi, mjini Washington, DC. Rais Donald...
  6. Wanaharakati wa Afrika Mashariki Wamfuate Trump White House

    "Huu ndio wakati sahihi kwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hususani Kenya, Uganda na Tanzania kupanda ndege (kwa ufadhili wa mashirika yasiyoeleweka), waungane na Gen Z team waende Marekani, waandamane mbele ya White House wakisema: 'Trump must go!' maana dunia haitapata haki bila wao, wala...
  7. X

    Baada ya kilio cha muda mrefu cha Trump hatimaye leo Xi Jinping amepokea simu ya Trump

    Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio. Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na Xi kwa simu na pili amekaribishwa na raisi Xi atembelee China. Jambo la kushangaza ni kwamba hizi...
  8. "Kill The Boer" Ilivyotikisa The White House

    "Dhubul iBhulu! Kill the Boer, Kill the Farmer, Victory is certain". Kauli tata iliyomuweka kikaangoni Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mbele ya Rais wa Marekani Donald Trump walipokutana mei 21, 2025 Ikulu ya Washington DC. Je kauli inayomkaanga Ramaphosa ilitoka kwenye kinywa cha nani na...
  9. Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

    Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili. Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi. Waziri wa Fedha...
  10. X

    Kimeumana huko Marekani kati ya White House na Amazon. Chanzo ni vita vya ushuru kati ya Marekani na China

    Baada ya Trump kupandisha ushuru kwa bidhaa za mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China sasa Wamarekani wameanza kujionea kupanda kwa gharama za bidhaa. Amazon moja ya wauzaji wakubwa wa bidhaa za kutoka China wamekuja na hii idea ili wajisafishe mbele ya wateja wao wasionekane wabaya lakini...
  11. Rais Trump akiwafuturisha Waislamu ikulu ya White House

    This is too funny! Kungekuwa hakuna video mtu anaweza kubisha na kusema huo ni utani. Ila, huo si utani. Ni kweli kabisa. Jana Rais Trump kawafuturisha wafuasi wa mtume Mohamed 😂. https://youtu.be/U1_KUdYkuEg?si=aQi-sV-a4zNLG_W2
  12. Secret Service wampiga Risasi Mtu mwenye silaha nje ya Ikulu ya White House

    Trump awe makini coz watu wana hamu naye! Safari hii wamemuwahi jamaa kabla hajafanya yake! Huduma ya Ulinzi wa Rais wa Marekani (Secret Service) ilimpiga risasi mwanamume mmoja nje ya Ikulu ya White House mapema Jumapili baada ya kile kilichoelezwa kuwa "makabiliano yenye silaha," kwa mujibu...
  13. Nini hatima ya Trump ndani ya white house, kwa mwenendo wake wa sasa?

    Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono. Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa unatengenezwa Ili Kuirejesha USSR. Nchi Zote zilizojimega kipindi kile Russia haijawahi kuzitambua...
  14. Kwa hawa viongozi wetu wa Afrika, nani kama Zelensky alivyowekwa mtu kati Pale white house

    Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
  15. Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani! Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
  16. Macron Na Starmer Watinga White House

    Katika hali ya viongozi wa bara uroda kuchanganyikiwa, wanene waliotajwa hapo juu wameamua kumfuata mzee baba live. Watafanikiwa kumshawishi abadili msimamo?
  17. D

    Wasemaji wetu wa Ikulu wana la kujifunza kwa Mwanadada mdogo Karoline Leviatte, msemaji wa White House

    Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini. Binti anapigwa maswali ya papo hapo na kuyajibu kwa ufasaha na kujiamini huku waandishi wa habari wasiompenda Trump wakiwa wanajaribu wakati...
  18. B

    Maamuzi na kauli za Rais Donald Trump, je zina baraka za White House?

    Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao. Hata hivyo kauli na ubabe wa Rais wa sasa wa taifa hilo, zinatafakarisha sana hususani implication ya kauli...
  19. G

    Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  20. Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…