weupe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri. Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii. Sasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wa dini ya kikiristo ni weupe sana ktk uchambuzi wa kimataifa

    Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

    Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hatupendi uchafu

    Hapo vip! Najivunia sana kuzaliwa mweupe kwasababu uweupe ni ishara ya utakatifu,nguvu,utawala,utajiri,mamlaka n.k MFano nuru utawala giza. Kiukweli sisi wanaume weupe hatupendi vitu vichafu vichafu mfano ngono inachafua nyoto,kiasili na ukweli ni kwamba rangi nyeupe haipendi uchafu. Wanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Tafiti zanaonyesha wanaume weupe hawapendi mapenzi

    Hapo vip! Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi. Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri kama mali,biashara kubwa,technology,utawala ,magari mzuri,majumba ya kifahari n.k Wanasema ndio maana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza watu weupe wanapitia oppression na kuelewa inavyouma

    Katika wiki za hivi karibuni, Marekani imeonekana kama mahali ambapo taasisi za dola zinazotumia nguvu—kama ICE (Immigration and Customs Enforcement)—zinapoanza kutenda kwa ukali usio na uwazi, watu wengi weupe wameanza kuona na kuelewa jinsi nguvu hizi zinavyoweza kuumiza maisha ya kawaida ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hii ndio kazi yetu tu

    Hapo vip! Wanaume weupe tunaweka mbegu tu,alafu tunaendelea na kutafuta pesa na kubadisha dunia kuwa sehemu nzuri,ndio maana tumeleta technology,magari,umeme,computer,ndege n.k hapa hamna mwanaume mweusi anaweza kufanya haya, ndio maana hatupendi kugandana na wanawake kama hawa jamaa weusi...
  9. JamiiForums Tanzania Wadada weupe na wazuri wa asili piteni hapa mjibebee maua yenu

    Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi. Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna peponi, hawa watu weupe wanavyotuchukia wangeleta kweli kitu kinaitwa dini ili twende nao huko peponi?

    Dini zipo nyingi sio uislamu na ukristo tuu kabla ya watu weupe kuja africa tulikua tunaabudu mungu kupitia dini gani?? Mungu si yupo tuu kabla hata ya hizi dini za watu weupe kuja? Hizi dini mpya za kikoloni ni utapeli (mungu yupo) ila tafuta namna ya kumuomba kama mababu zako walivyofanya...
  11. JamiiForums Tanzania Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

    Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio. Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

    Eh, mniache Nimalizane na Birthday yangu Me.maswali mengine sina majibu Kuna mrembo ameulizq hapa Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish Kwenye mechi wabovu Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini? Hili swali niliulizwaga...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
  14. JamiiForums Tanzania Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

    Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu. Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani? Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye press ya Lisu nimejiridhisha kuwa waandishi wengi ni weupe kichwani, waliposhangilia nukuu ya Nyerere.

    Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali?? Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya kuanzisha kizazi cha taifa la watu weupe ( wazungu)

    Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama mithali au simulizi ya mfano na siyo rekodi ya kihistoria au kisayansi. Hapa kuna muhtasari wa hadithi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
  18. JamiiForums Tanzania Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite. Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara...
  19. JamiiForums Tanzania WanaJF Nendeni likizo ili na nyinyi mrudi kazini mkiwa Weupe

    Yaani Jamaa kaenda Likizo siku kadhaa tu lakini karudi ule weusi wote umeisha, kawa mweupe peee huku mwili ukiwa umepukutika kama vile anavyotuelekeza Profesa Janabi yaani, Daaah!! Nawaomba wanaJF wenzangu nendeni likizo ili mkirudi mng'are huku vitambi vikiwa vishawaporomoka, kwani hamtaki...
  20. JamiiForums Tanzania INAWEZEKANAJE MWANAUME MWEUSI UNAKUWA NA WATOTO WEUPE?

    Hapo vip!! Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap? Hivi mzungu anaweza kuwa na mzingu mwenzake akazaa watoto weusi..hapo itakuwaje. Nawashauri wanaume weusi jitahidini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…