wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mzize kwenda Kaskazini atafakari sana, ajifunze kwa kutumia makosa ya wenzake, Selemani Mwalimu, Chama na Miquison.

    Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad. Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi kuvumilia kumsubiria mchezaji mweusi asiyewapa matokeo ya leoleo uwanjani. Wanaweza kumvumilia...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi ya Bwana Ugoko na Wapangaji Wenzake.

    Wapangaji 6 Wa nyumba moja walichanga changa na kununua bastola kujihami dhidi ya majambazi. Makubaliano kuwa kwa kuwa bwana Ugoko yuko chumba cha karibu na mlango Wa kuingilia awe analala na bastola tayari kumkabili yeyote atakayejaribu kuwavamia Siku bastola ilipowasili toka dukani na kutua...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

    Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu jamaa kweli anajielewa?
  5. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani? Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

    Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako Kuna mtu atasema ni majani ya chai Kuna mtu atasema hii thermos Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kuna vijana watasema pesa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanakandarasi wa misaada Gaza aambia BBC aliona wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina

    Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  10. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya Mwanza alalamika kufanyiwa figisu na wana CCM wenzake

    Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Constantine Sima ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mhandu amedai kufayiwa hujuma na fitina zinazofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kwa maslai yao binafsi. Akieleza kazi zilizotekelezwa katika kata hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020-2025, Sima amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi ujao ungekuwa halali bifu za Samia na wenzake zingesaidia au kuiumiza CCM?

    Tangu aingie madarakani, rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na bifu na baadhi ya wanachama wenzake. Alianza na Job Ndugai spika wa zamani wa bunge letu. Baadaye, akafuatia Dk Bashiru Ally akiwakilisha kile kilichokuja kujulikana kama Sukuma gang. Juzi alianza bifu na Josephat Gwajima kidhabu...
  12. JamiiForums Tanzania Nabii Bashando afuta Utabiri wa Seikh Yahya, awaonya Askofu kabugimila, Mapinduzi na wenzake

    Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Video : Sheikh Izzu ddiyn toka Kenya amjia juu Matha Karua na wenzake

    โ™ฆ๏ธAdai watetezi wa haki za binadamu hawajawahi tetea japo haki moja wakafanikiwa. โ™ฆ๏ธAmtaka Karua na wenzie kutetea haki za waKenya kwanza. โ™ฆ๏ธPia akumbushia Karua alivyoshiriki kuwadhulimu waKenya wakati wa rais Mwai Kibaki.
  14. JamiiForums Tanzania Kala Pina alitaka kuwatolea posa wasanii wenzake ambao ni Voice Wonder pamoja na Mr Blue nyakati hizo!!

    Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41. Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa...
  15. JamiiForums Tanzania Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
  16. JamiiForums Tanzania Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

    Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana aliehukumiwa kifo kwa kushiriki katika mapinduzi yaliyoshindwa huko Congo amehamishwa yeye na wenzake kwenda Marekani.

    Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
  19. JamiiForums Tanzania ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ: Kuna Mjinga mmoja atishia kuwafuta wanachama wenzake kwa ujinga wake kwenye group!

    ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ƒ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐š๐ฅ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐จ ๐ณ๐ข๐ง๐ ๐š๐ญ๐ข๐š ๐ค๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐š๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐จ๐ฃ๐ข ๐ฉ๐š๐ง๐๐ž ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐ข๐ง๐š๐ณ๐จ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข, ๐€๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐š๐๐ก๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ 90 ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐ฅ๐ž๐จ 27/3/2025 - 26/6/2025, ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฒ๐ž๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐š๐ญ๐š๐ค๐š๐ฒ๐ž ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐š...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ