wenza wa viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mafao ya wenza wa Viongozi ilikuwa ni ishara ya dharau sana kwa Wananchi

    Mafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mke wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na kuondoa huo ujinga wa ali ya juu. Kwenye nchi maskini kama Tanzania matundu ya vyoo tunajengewa kwa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

    Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete: Bila wenza wa viongozi mambo hayaendi vizuri

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu. “Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge...
Back
Top Bottom