wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia: Musukuma usiaminishe wanafunzi kuwa elimu ya darasa la 7 ni bora kuliko elimu ya juu

    Naibu Spika Tulia Ackson amemkosoa Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, kuacha kuaminisha wanafunzi kuwa elimu ya darasa la saba ni bora kuliko elimu ya juu kwa kuwa Serikali inajitahidi kuboresha shule kwa ajili yao na hivyo ni muhimu kuwahamasisha kusoma kuliko kuwakatisha tamaa. Naibu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
  4. JamiiForums Tanzania Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

    Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika . Ili kuepuka jambo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusijenge Bandari ya Bagamoyo tusijenge kwa fedha zetu wenyewe?

    Ndugu Watanzania, Nimejaribu kufatilia nchi yetu na kuona kuwa miradi mikubwa inayofanyika au inayotarajiwa kufanyika tunategemea zaidi pesa kutoka nje ya nchi kama mikopo au wawekezaji. Leo ninataka kujikita zaidi kwenye neno wawekezaji ili nitowe mawazo yangu kwa nini sisi watanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini? Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…