wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Nina milioni 15 CASH na kiwanja kipo kigamboni nataka kujenga naomba kujua kwa pesa hiyo naweza kukamilisha nyumba nikahamia kabisa?
  3. JamiiForums Tanzania Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mataifa yenye Watu wenye Akili ndiyo huja na Mawazo yenye Akili kama haya

    MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa. Chanzo: habarileo_tz Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna wazee wenye uthubutu na hekima waliobakia CCM

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu na kama ikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake anaweza kuhama, hii kauli inaweza kutamkwa na mtu muadilifu, muungwana na anauechukizwa na maovu kweli kweli. Katika utawala wake nani anayeweza kumshutumu kwa ufisadi, rushwa, dhuluma, wizi na hata...
  10. JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wenye familia changa, mabachelor na wenye kupenda mtindo huu wa maisha hii plan inafaa kiasi

    As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo. Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji ya Website

    Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏 Nipigie #0656801058
  13. JamiiForums Tanzania Unataka Kujua Jinsi ya Kuishi na watu wenye Personality ngumu?

    Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi, Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi unaweza kuta ni mkeo, mmeo, mzazi wako, ndugu yako wa karibu, boss wako, mtoto wako,mwalimu wako,wateja...
  14. G

    JamiiForums Tanzania wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

    Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni; 1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM 2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi 3. Ado Shaibu ACT Wazalendo 4. Ahmad...
  16. JamiiForums Tanzania Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo 6 ambayo watu imara na wenye akili hufanya

    1. Husonga Mbele. Huwa hawapotezi muda kujisikitikia na kujipetipeti. 2. Huyapokea Mabadiliko.Huyakaribisha mabadiliko kwa mikono miwili 3. Huwa Wenye Furaha. Hawapotezi nishati zao kwenye mambo wasiyoweza kuyadhibiti au kuyatawala(yaliyo nje ya uwezo wao). 4. Ni Watu Wema, wapenda haki na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
  20. JamiiForums Tanzania Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…