wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kudhurumiana wenyewe hawataki lakini kudhurumu wengine ni furaha

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho. Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais hajawahi kulinganishwa na wengine.

    Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine. Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
  4. JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  5. JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mnafiki kama wanafiki wengine

    Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru. Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU. Baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume mnao Suka nywele, kutoboa pua na masikio wengine mkaona haitoshi mnajikrimu, je ni utanashati tu au kuna kingine?

    Wakuu Sote tunajua wazi sisi wanaume si wa mambo mengi. Ni rahisi sana kumkuta mwanaume ana suruali mbili na mashati matatu na hawazi wala kuongelea mavazi na ameridhika nayo wala hajari. Ni rahisi sana kwenda geto la mwanaume ukakuta hakuna lotion aina yoyote ila ana mafuta ya kupaka tu na...
  8. JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Sarakasi za polepole tumeziona. Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedent ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole???? 1. Nani aliyeacha precedent ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala??? 2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu Nisaidie Niweze Kunyamaza, Nijiepushe na Dharau na Kebehi dhidi ya Dini nyingine, Niepuke Kujimwambafai Mbele ya Dini na Madhabahu ya Wengine

    Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja, heshimu dini yako kama ambavyo unataka dini yako iheshimike, na kama nia baadhi yao ni kutangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Boko Haram waua watu 9 na kujeruhi wengine Nigeria

    Mamlaka nchini Nigeria zimesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua watu 9 na kuwajeruhi wengine 4 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Mamlaka nchini Nigeria zimesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua watu 9 na kuwajeruhi wengine 4 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Shambulio hilo limefanywa na...
  12. JamiiForums Tanzania CCM imekosa Mvuto hadi imefika hatua inajipendekeza kwenye Mikusanyiko ya watu wengine

    GT CCM ina hali mbaya sana kwa kweli kinachoibeba hadi sasa ni kwamba watanzania siyo watu wa kudhubutu vinginevyo tungekuwa tuanongea mengine. Sasa unajua CCM ikiitisha mkutano.wa hadhara bila kubeba watu kwenye malori au.kuwahonga watu hela wahudhurie mkutano ni ngumu kuwapata, kwa mantiki...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Wanaosema watazuia uchaguzi ni matapeli kama matapeli wengine

    Hii ni kauli ya nguli wa sheria na siasa, kwa MBA, uchaguzi hauzuiliki. Kauli hiyo ameitoa wakati akipasua anga za wilaya ya Busega akieneza sera za ACT Wazalendo. === Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia...
  14. JamiiForums Tanzania RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  16. JamiiForums Tanzania Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

    Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu, Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa nitaheshimu watu wa NNE TU SERIKALINI, wengine wote tutakula nao sahani moja

    Iweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee iwe iiwe iiweeeeeeeeeee Ndani ya serikali ya Tanzania nitahoji na kuuliza kila kitu kinachofanywa na watumishi wa serikali kwenye kila nyanja mbalimbali ila tusi lanhu kubwa nitakalo watukana wafanya ubadhilifu na majuha ndani ya serikali itakuwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…