waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ateua Mkurugenzi Mpya wa Maji Morogoro, aelekeza iundwe timu maalum ya Wataalam

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

    Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa arejesha safari za ndege za Air Tanzania Dar kwenda Iringa. Nauli kuanzia Tsh 199,000 kwenda na Kurudi

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kujiimarisha zaidi ili kuweza kuwa na ushindani. Prof. Mbarawa amezindua safari...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 18 Februari 2025 Madhumuni ya mazungumzo hayo yalikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea nakala ya hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Thailand nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awataka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa Mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha utoaji wa huduma

    AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu waziri mipango na uwekezaji: Makampuni ya mikopo wanaotoza riba kubwa kunyang'anywa leseni

    Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa. Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi za hazina ndogo...
  13. JamiiForums Tanzania Putin akimcheka na kumrekebisha Waziri wake kuhusu mauzo ya kitimoto Indonesia

    Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Wanaolalamika kuibiwa Simu wanakutana na Nenda rudi nyingi kituo cha Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wananchi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa upelelezi wa simu zilizoibiwa, hali inayowafanya wahalifu kuepuka kukamatwa kwa wakati ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kushughulikia changamoto hiyo kwa haraka. Bashungwa amesema...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega waulize TARURA, DMDP kwanini utekezaji wa mradi wa barabara Nyakasangwe wazo hauanzi?

    Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa kiwango cha Lami imekuwa kimya ikiwa nikukosa kwa barabra madhubuti hasa eneo la BWAWANI hasi kipindi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PSRS NA WAZIRI WA ELIMU HOI...!

    Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa. Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Prof Jeffrey wa Chuo Kikuu cha Columbia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika leo tarehe 16 Februari, 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega apendekeza Watu binafsi kutumia barabara za Mwendokasi kwa kulipia

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza zitumiwe na magari binafsi kwa kulipia. Akizungumza leo Alhamisi Februari 13, 2025 mkoani kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…