waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ampokea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Zakaria Ambrose baada ya uapisho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Aweso atoa maelekezo mabomba ya Kijiji cha Mayonje - Sumbawanga yatengenezwe na huduma ya maji irejee

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Sumbawanga Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga kurekebisha mabomba yaliyoharibiwa Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ndani ya wiki moja ili kurejesha huduma. Aweso ametoa malekezo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega: Siku 100 za Rais Samia Serikali imekamilisha Miradi 40

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026

    YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kwanini waziri Mkuu anajichanganya kwenye speech zake?

    Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani Unadhani huwa ni nini kinapelekea Mh. Mwigulu kukutwa na hali hiyo?
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe akutana na Balozi wa Norway kujadili namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Gerezani siyo sehemu ya adhabu tu, ni sehemu ya uzalishaji

    Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atembelea hifadhi ya Taifa ya Arusha

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA ▪️Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
  12. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hii RUSHWA iliyopelekea ENEO la Namanga Makangira Msasani kuruhusiwa kujengwa Maghorofa ni sh. ngapi?

    Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa? Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akemea tabia ya kila mtu kuwa Msemaji, asema hali hiyo inachangia mpasuko wa Taifa

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini. Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha. Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Tuna upungufu wa maji kutokana na ongezeko la watu

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, akitoa taarifa kwa umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Mhe. Rais na mafanikio ndani ya siku 100 za Serikali ya awamu ya sita, leo Tarehe 28 Januari 2025; katika ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dodoma.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

    https://youtu.be/A9g01IWawAs?si=MpgoXABf4N-5Efu-
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu nchini afghanistan atangaza rasmi marufuku ya utoaji wa elimu kwa wanawake

  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
Back
Top Bottom