waziri wa michezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    Navutiwa na utendaji wa Tabia Mwita, Waziri wa Michezo Zanzibar

    Nimekuwa nikuvutiwa na utendaji kazi wa Tabia Mwita ambaye ni Waziri wa Michezo katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Nilikuwa sijui kama majina ya bara siku hizi yamejaa huko visiwani?
  2. GENTAMYCINE

    Waziri wa Michezo Mchengerwa unavyosema Simba na Yanga sasa 'zitaitii' Serikali unajielewa Wewe?

    Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba na Yanga vinamilikiwa na vinasimamiwa na Serikali yako mpaka leo katika Hafla ya Kuwopongeza Tembo...
  3. GENTAMYCINE

    Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

    Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC. Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
  4. GENTAMYCINE

    Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

    Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi...
  5. E

    Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
  6. Suzy Elias

    Daraja la Tanzanite kuonesha mechi mbashara usiku wa Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya

    Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool -- Waziri Mchengerwa ameyasema haya “Tunatambua Heineken wamekuwa waki-support michezo na kwa mara ya 1 Tanzania...
  7. John Haramba

    Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  8. funaku

    Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  9. The Boss

    Waziri wa Michezo afukuzwe haraka

    Nchi ni kama haina waziri wa michezo. Olympics tunapeleka watu watatu. TFF uchaguzi wa kihuni. Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote. Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo. Regulatory Approval? Au hakuna hata Regulatory Institutions za kufatilia hizi clubs? Waziri yupo Tu mambo...
  10. Linguistic

    Maagizo ya Rais Samia kwa Waziri Bashungwa kuhusu kujenga Academy ya michezo kila mkoa nchini ni mazuri

    Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe. Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na ushauri pia kwamba academy hutayarishwa na timu zote zinazoshiriki kwenye ligi, kuanzia timu kubwa...
Back
Top Bottom