Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi and Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewasili mkoani Lindi Aprili 10,2025 kwa ajili ya ziara yake katika mikoa miwili ya Lindi na Mtwara.
Awali baada ya kuwasili mkoani humo alipita katika Kata ya Somanga, Mtama iliyopo...