waziri mkuu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba awasili Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba πŸ“Mpanda - Katavi. πŸ—“οΈ Agosti 30, 2026. β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”...
  3. JamiiForums Tanzania LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Eid Al Adha Mubarak kutoka kwa Waziri Mkuu Nchemba

    EID AL ADHA MUBARAK Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Waislam na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid. Tusherehekee sikukuu hii kwa utulivu huku tukidumisha upendo, mshikamano na amani kwa maslahi ya Taifa letu. Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba awasili Nyumbani kwa Lukuvi, Idodi Iringa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi, Kijiji cha Idodi mkoani Iringa kuongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…