waziri aweso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    DAWASA, Bonde Wami Ruvu kazini kutekeleza agizo la waziri Aweso

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kuainisha na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji visima virefu vya maji katika Mkoa wa Dar es salaam. Hatua hiyo ni mojawapo ya mipango mikakati ya Mamlaka ya kuongeza uzalishaji maji chini ya ardhi kwa lengo...
  2. Roving Journalist

    Waziri Aweso ampokea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Zakaria Ambrose baada ya uapisho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
  3. Roving Journalist

    Responded Waziri Aweso atoa maelekezo mabomba ya Kijiji cha Mayonje - Sumbawanga yatengenezwe na huduma ya maji irejee

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Sumbawanga Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga kurekebisha mabomba yaliyoharibiwa Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ndani ya wiki moja ili kurejesha huduma. Aweso ametoa malekezo...
  4. M

    Waziri Aweso: Tuna upungufu wa maji kutokana na ongezeko la watu

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, akitoa taarifa kwa umma kuhusu utekelezaji wa ahadi za Mhe. Rais na mafanikio ndani ya siku 100 za Serikali ya awamu ya sita, leo Tarehe 28 Januari 2025; katika ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dodoma.
  5. Miss Natafuta

    Waziri Aweso unajiharibia CV yako nzuri

    Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne Waziri kweli unapokea mshahara Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much Hakuna...
  6. Mafyangula

    Waziri Aweso amsamisha kazi Meneja wa DAWASA Kibamba kwa kutoridhishwa na utendaji wake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya nafasi ya Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa mkoa wa kihuduma Kibamba kutokana na kutoridhishwa na utendaji wake. ‎ ‎Mabadiliko hayo ameyafanya Novemba 28, 2025, baada ya kufanya ziara ya kikazi katika...
  7. tonicimmobility

    Waziri Aweso na Makalla kushirikiana kutatua changamoto za maji Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, leo Jumatatu Novemba 24, 2025, wakizungumza kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Arusha. Katika mazungumzo hayo, Makalla ameonyesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inayoendelea...
  8. Nipe Maji

    GE2025 Waziri Aweso aagiza mradi wa maji Mpanda uharakishwe

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu shilingi bilioni 22.863. Akizungumza na Wananchi wa Mpanda baada ya kutembelea na kukagua eneo la...
  9. Nipe Maji

    Waziri aweso awataka wakandarasi wazawa kuonesha thamani ya fedha katika utekelezaji miradi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 katika miji ya Wanging’ombe na Makambako mkoani Njombe kuonesha thamani ya fedha kwa kutekeleza mradi kwa wakati, weledi, ubora na viwango vinavyostahili. Amesema hayo baada ya kukagua miradi hiyo na kutoridhishwa...
  10. W

    Mkandarasi feki azimia baada ya kubanwa na Waziri Aweso

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewaonya Wakandarasi wanaochekelewesha ameonesha Miradi ya Maendeleo na kuonyesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Wilaya za Wanging’ombe na Makambako, Mkoani Njombe. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi...
  11. Just Pray

    GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Aweso: Nampongeza Naibu wangu wa maji Andrew Kundo na mfananisha kama Mpanzu wa Simba

    Waziri wa maji Mhe Jumaa Aweso amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa sana katika Sekta ya Maji kwa wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu na Tanzania kwa ujumla wake hadi kufikia hatua ya kutambulika kimataifa. Aidha Waziri Aweso amempongeza Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri Waziri wa Maji Mhe...
  13. Nipe Maji

    Waziri Aweso: Upatikanaji wa maji vijijini asilimia 83, mijini 91.6

    Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini. Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026. Waziri Aweso amesema upatikanaji wa...
  14. Roving Journalist

    Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  16. Fbn

    Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

    Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site" "Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji...
  17. Mindyou

    Rais Samia: Watu waanze kununua maji kwa jinsi wanavyotumia, na hununui kwa Aweso unanunua kwa mashine

    Wakuu, Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na matumizi yao. Kupitia mfumo huo, wananchi watahitajika kulipia maji kabla ya kuanza kuyatumia kwa kutumia...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya 'Tank la Maji' kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanyika leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani...
  19. Roving Journalist

    Waziri Aweso ateua Mkurugenzi Mpya wa Maji Morogoro, aelekeza iundwe timu maalum ya Wataalam

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
  20. Pfizer

    Waziri Aweso awataka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa Mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha utoaji wa huduma

    AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
Back
Top Bottom