wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo kilianzishwa na watu watatu tu; Mimi, Kitila Mkumbo na Mwanaharakati mmoja wa kike

    Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni. Kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wazalendo ni wachache, wazalendo hawadumu

    Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi: "Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!" "Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu" "Kila unaponunua kitu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
  5. JamiiForums Tanzania Kasi ya utendaji ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa inatufuta machozi wazalendo

    UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA •Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa. •Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…