waumini wa gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Video: Vibe la waumini wa Gwajima kanisani leo

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  2. U

    Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  3. Mkalukungone Mwamba

    Askofu Mwanamapinduzi: Waumini wa Gwajima wamekuwa wakimbizi wa kiroho

    Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu kama Mwanamapinduzi, ameibua maswali kuhusu hatua ya Serikali kufungia makanisa yote ya Ufufuo na Uzima nchini akisema waumini wa makanisa hayo sasa wanaishi kama ‘wakimbizi wa kiroho’. Akizungumza...
  4. Parabolic

    Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

    Kufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam. Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over...
  5. Parabolic

    DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
  6. Parabolic

    Askofu Mwanamapinduzi: Kanisa la KKAM tulipokuwa tukisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara

    Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara. Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
  7. L

    Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapo 👉Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) lililopo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam ambalo kwa Wiki tatu limetumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima kufanya Ibada, limevunjwa na kubomolewa...
  8. R

    Kanisa la KKAM walilosali waumini wa Gwajima limevunjwa

    Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na eneo hilo panaonekana hakuna ibada zitakazoendelea siku ya leo Jambo TV imefanya jitihada za...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  10. Waufukweni

    Waumini wa Askofu Gwajima waendelea na maombi kwenye Kanisa la KKAM Ubungo licha ya Ulinzi mkali wa Polisi

    Baadhi ya waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), lililopo eneo la Ubungo Kibo jijini Dar es Salaam, leo wameendelea na ibada zao kama kawaida licha ya kuwepo kwa ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya jirani na kanisa hilo. Askari wa Jeshi la Polisi walionekana...
  11. Parabolic

    Watu 52 mbaroni kwa kufanya mkusanyiko usio halali eneo la Kibo

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa Jeshi la Polisi linawashikilia watu 52 kwa kufanya mkusanyiko usio halali jijini humo. Amesema leo Juni 29 huko maeneo ya Kibo Ubungo Dar es Salaam, jeshi hilo limewakamata watu hao waliokuwa wakisali kanisa la...
  12. technically

    Hivi naomba majibu Kwa Samia Hawa waumini wa Kanisa la Gwajima Wana makosa gani?

    Wamekosa Nini Sitaki siasa Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa? Wao hawana familia? Hawana watoto? Ni wapagani hawasali? Wake zao hawasali? Ni wapagani? Wao nao ni wapagani? Samia na weweni mpagani ? Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu...
  13. Just Pray

    Video: Hali ilivyo kanisani kwa Askofu Gwajima licha ya kanisa kufungwa

    Waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory Of Christ Tanzania Church) wameonekana kuendelea kuwa na ari kubwa ya kuimba na kufanya maombi huku wakitaja jina la "Yesu" na wengine wakifanya maombi hata baada ya kukamatwa na kuwekwa kwenye magari ya Jeshi la Polisi. Waumini hao wamekamatwa baada...
  14. DuaZaMama

    Muumini Kanisa la Gwajima: Tunanyimwa uhuru wetu wa kuabudu katika taifa huru. Polisi wamepiga mtu rungu hadi amezimia!

    “Hatari sana kuna mwenzetu amepigwa rungu amezimia kisa ameabudu hatujafanya fujo yoyote sio mwizi anataka haki yake ya kuabudu tunanyimwa uhuru wa kubudu katika taifa huru” Ni maneno ya muumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (hakuwa tayari kutaja jina lake) ambaye alikua miongoni mwa waliokuwa...
  15. McLaren

    Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

    Wakuu, Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu...
  16. R

    Waumini wa Gwajima waendelea na ibada pembezoni mwa barabara huku kukiwa na ulinzi mkali wa Polisi katika eneo hilo

    Wafuasi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Wafanya Ibada Licha ya Uwepo Mkubwa wa Polisi Licha ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya karibu na Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi leo Jumapili kwa ajili ya...
  17. R

    Eneo walilosalia Waumini wa Gwajima Jumapili hapakaliki, Polisi waweka kambi

    Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari...
  18. Waufukweni

    Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali. Baadhi ya...
  19. R

    Waumini wa Askofu Gwajima wapiga maombi nje ya Kanisa – Ubungo wakati Polisi wakiwazuia kuingia Kanisani

    Baaada ya Gwajima kutangaza jana kuwepo ibada Jimbo kuu la Dar es Salaam eneo la Ubungo leo Juni 15, 2025 Tangazo hilo lilifuatwa kwa tukio la Polisi kuzingira Kanisa hilo na waumini kuonekana kufanya ibada mbali na Kanisa baada ya kuiwa na Polisi kufanya ibada ndani ya Kanisa === Wakati...
Back
Top Bottom