watumishi wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kutumia Trillioni 1.2 kuijenga Muhimbili ni dhihaka kwa Watumishi wa Afya

    Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la Muundo, Bunge lipo kinywa kujadili na kupitisha muundo Mpya wa Mishahara sekta ya Afya inchini...
  2. Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  3. A

    KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho. Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi...
  4. A

    KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  5. R

    Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  6. Ridhiwani Kikwete: Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
  7. KERO Watumishi wa Afya Ilala tunakosa mikopo sababu Viongozi wanachelewa kutoa tangazo kwa makusudi ili wakope wao kwanza

    Asilimia kubwa ya sisi Watumishi wa chini wa Afya wa Serikalini tuliopo katika Halmashauri ya Ilala tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua muda mrefu, tunaona bora kuiweka wazi ili mabosi wetu ngazi ya Serikali Kuu wajue kinachoendelea na hatua zichukuliwe. Kuna mikopo ya Serikali ambayo imekuwa...
  8. Waziri Ridhiwani Kikwete aongoza Watumishi wa Afya kuaga mwili wa Dkt. Mango

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) leo Mei, 31, 2025 amewaongoza mamia ya Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), JKCI, MNH, MUHAS na waombolezaji wengine kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu...
  9. M

    DOKEZO Uhaba wa watumishi wa afya unavyochochea rushwa Maswa

    Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya. Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
  10. Mtu wa Kada ya Afya hujaajiriwa au unapenda fanya kazi Geita basi tukutane hapa

    Just comment unachotaka kujua au private message tupeane details na nini cha kufanya. Muwe na siku njema.
  11. Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
  12. Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
  13. A

    DOKEZO Malipo ya watumishi wa afya Hanang kwa waliosaidia wahanga kuna upigaji mkubwa

    Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
  14. UPDATE: Watumishi waliomwagiana Maji ya Dripu wakisherehekea 'Birthday' wasimamishwa Kazi

    ============= Serikali iemanza kufanya uchunguzi kuhusu video inayosambaa mtandoni ikiwaonyesha watoa huduma za afya wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa kumwagiana majitiba maarufu ‘dripu’. Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Desemba 3, 2023 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu...
  15. Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
  16. Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  17. N

    Watumishi wa Afya kuvaa mavazi ya kazi kwenye usafiri wa Umma ni hatari kwa afya za wananchi

    Leo nikiwa natoka kazini kwenye daladala nimekaa pembeni yangu alikuepo Nnesi amevaa sare ya kazi nahisi naye alikuwa anatoka kazini. Kwakweli kwa upande wangu sijafurahia alikuwa anatoa kwa mbali manukato ya hospitali. Nimejiuliza mtu anayeshinda na wagonjwa wengine ni magonjwa hatari je...
  18. Rais Samia: Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa watumishi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi" Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro katika Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Hospitali ya KCMC Ameongeza, "Tunapopiga mahesabu ya...
  19. DC Mpogolo: Watumishi wa Afya msiwe na kigugumizi katika kupata chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo. Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya...
  20. Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo. sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…