watu wasiojulkana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jicho la Tai

    Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao. Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo. Inauma sana. Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini. ========= UPDATE: May 01, 2014 PIA SOMA - Uelewa wangu...
  2. mrangi

    Majambazi wapora kwenye benki ya Barclays tawi la Kinondoni TX

    baclays kinondoni branch wazee wa kazi au wazee wa ngwasuma au majambazi.inasemekana wamechukua hela mule bank....nilipigiwa sm nkaambiwa sahvv napita naona watu kibao wa jf...naona huu ni msimu wa majambazi kutafuta hela ya pasaka sjui ------------------------- PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya...
  3. L

    M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro Ndugu Japhar Mghamba na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu wilaya ya Dar es salaam Ndugu Daniel Zenda wameshambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana. Viongozi hao ambao wapo wilayani Mwanga...
  4. R.B

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha juu ya CHADEMA

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kutoka Ofisi ya kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Taarifa ya ajali ya moto katika Ofisi za CHADEMA Ndugu wanahabari, Mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi, polisi mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina ofisi za chama...
  5. A

    Mbeya: Kiongozi wa CHADEMA ajeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Jackson Mwasenga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ikiwemo mkononi. Akizungumza na mwandishi wetu akiwa katika Hospitali ya...
  6. J

    Ifunda tech secondary school ya chomwa moto

    Usiku wa kuamkia jumapili tar 7 april watu wasiojulikana wamechoma moto ofisi ya taaluma hapo shuleni na kuteketeza kabisa kila kitu. Hakuna kilicho okolewa. Hasara ni kubwa sana zaidi ya mamilioni. Vyeti ya wahitimu form four na form six, vitabu na nyaraka muhimu navyo vyote vimeteketea. PIA...
  7. P

    Kanisa la TAG Songea latishiwa kuchomwa moto

    Kwa mujibu wa Radio one... Kanisa la Assembblies of God lililoko Songea mjini nalo limetishiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana. Mchungaji Alimosa Mwasangapole amethibitisha. PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana ~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa...
Back
Top Bottom