watu wasiojulkana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

    Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27. Imenifanya nikawaza hivi watu wangapi wameuawa kikatili na wakazikwa bila ndugu au jamaa zao kujua? Unamfahamu mtu yoyote...
  2. Waufukweni

    Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

    Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana. "Wito wangu ni tukemee...
  3. mshale21

    Askofu Mlawi alaani vikali Matukio ya Utekaji: Asema ni dalili ya kukosekana kwa Amani

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Musa Mlawi, ameibuka na kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushuhudiwa nchini, akivitaja kuwa dalili ya kukosekana kwa amani. Ametoa wito huo jijini...
  4. Dalton elijah

    PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Matukio ya 'wasiojulikana', 90% yametoka Bara

    Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara"
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Miaka 4 ya Rais Samia tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa wamempeleka wapi?

    Akiwa Rukwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu baada ya kuulizwa Miaka 4 ya Rais Samia ya uongozi wake amesema "tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa nyara wamempeleka wapi? Dioniz Kipanya ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA, Sumbawanga...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Makada 20 wa CHADEMA wakamatwa wakielekea kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza kufuatilia mwenzao aliyepotea kwa siku 12

    Wanachama na viongozi 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Viktoria wamekamatwa na Polisi wakiwa njiani kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda. Makada hao akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Viktoria, Zakaria Obadi na wenzake wamekamatwa leo Jumatano...
  8. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UWT Iringa atahadharisha matukio ya Utekaji na Rushwa kipindi cha Uchaguzi

    Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa viongozi. Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza...
  9. Waufukweni

    Abdul Nondo wa ACT Wazalendo atoa tamko kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli. Fuatilia hapa akitoa tamko lake https://www.youtube.com/live/LyTw1PpXT4I?si=Ze8FhWkwx-7UfKkb "Baada ya kutekwa katika stendi ya Magufuli mashuhuda waliotoa taarifa ndio...
  10. Waufukweni

    TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi

    Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haihusiki na swala la kupotea kwa Mfanyabiashara huyo. Taarifa hii ya TRA inakuja baada ya...
  11. Mindyou

    Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

    Wakuu, Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya. Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa...
  12. Tea Party

    Mwanzo mwisho jinsi watekaji wenye silaha walivyomteka mfanyabiashara wa Tarime Joseph Mwita Mtiba. Familia yake yatoa tamko!

    Katika siku za karibuni, kumekuwa na matukio ya watu kutekwa na kupelekwa kusikojulikana, hali inayozua hofu kwa Watanzania wengi pamoja na familia, ndugu, jamaa, na marafiki. Hivi karibuni, mnamo Oktoba 29, 2024, majira ya saa tatu usiku, watu wasiojulikana walimteka mfanyabiashara Joseph...
  13. Utawala2025

    Lini utekaji wa watu kupitia watu wasiojulikana utakoma?

    Habari. Kama kila siku vyombo vya dola vinatuhamasisha wananchi tuweze kulinda Amani ya nchi Yetu. Lakini Hali hii kwa hivi karibuni nchini mwetu imekuwa kitu cha tofauti na kuleta sitofahamu kwa sisi wananchi. Kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kutekwa kwa vipindi tofauti na mazingira...
  14. BigTall

    Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu. Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
  15. Mmawia

    Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

    Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni. Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena. Kwani jamii hiyo ya watu wasiojulikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika? Naomba mwenye uelewa wa...
  16. Sifi Leo

    Auawa, akatwa korodani na koromeo na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema

    Mtu mmoja ambaye hajatambulika jina lake, mkazi wa Mwanza na mfanyabiashara ya Tax amekutwa amekufa kwenye tax yake wilayani Sengerema baada ya kukodiwa na watu wasiojulikana kutoka jijini Mwanza. Mtu huyo aligundulika kuwa ameuawa, kwa kunyongwa na kamba ngumu iliyofungwa shingoni kisha kwenye...
  17. Kiturilo

    Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

    Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana. Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote. Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana. ===...
  18. denooJ

    Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Salaam, Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza. Tukio hili limetokea majira ya...
  19. M

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES: Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji)...
  20. Dejane

    Binti (Mwanafunzi wa Chuo) auliwa na maiti kufichwa

    Inasikitisha jamanii na inauma kwa mauaji yanayotekea hapa Nchini, kuna binti alikuwa anasoma chuo cha Bagamoyo ni mkazi wa Mwanza, anaitwa Wanze au Ashura mrefu wastani,mweusi mzuri ,alitekwa na watu wasiojulikana wamemuua wakampiga picha kwa simu yake marehemu pia wakaisambaza kwa whatsapp...
Back
Top Bottom