Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10.
Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia...