watoto wengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  2. Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora. Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao...
  3. Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  4. Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya sekondari mtoto Kairan Quazi anajiandaa kuanza safari ya maisha yake ya kikazi

    Katika umri wa miaka 14, Kairan Quazi amekuwa mhandisi wa programu katika kampuni ya Elon Musk SpaceX. "Sina wasiwasi juu ya uchovu," asema, "kwa sababu haya ni mapenzi yangu. Sio kitu ambacho mtu amenilazimisha kufanya." Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya...
  5. Baada ya kupata watoto 102, asema ni ngumu kuwahudumia, hataki mtoto mwingine

    Musa Hasahya Kasera ana watoto wengi sana ambao hawezi kukumbuka majina yao mengi. Mtu huyu kutoka kijiji cha Uganda anapambana kutoa mahitaji ya familia kubwa yake, ambayo anasema inajumuisha wake 12, watoto 102, na wajukuu 578, na sasa anahisi kuwa ya kutosha. "Kwa mwanzo ilikuwa mzaha, ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…