watoto wachanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Shirika la Kudhibiti Magonjwa Afrika limepongeza kuidhinishwa kwa dawa ya kwanza ya malaria kwa watoto wachanga

    Shirika la Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) limepongeza kuidhinishwa kwa dawa ya kwanza ya malaria iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya watoto wachanga na wenye uzito chini ya kilo tano. Dawa hiyo mpya, Coartem Baby, imetengenezwa kwa ushirikiano kati ya kampuni ya dawa ya Uswisi, Novartis, na...
  2. R

    Tiba ya Malaria kwa Watoto wachanga yaidhinishwa rasmi

    Kwa mara ya kwanza, dunia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya malaria baada ya kuidhinishwa kwa tiba maalum ya malaria kwa watoto wachanga na wadogo wenye uzito wa chini ya kilo 4.5, hatua inayotarajiwa kuokoa maelfu ya maisha kila mwaka barani Afrika. Tiba hiyo mpya, iliyotengenezwa...
  3. R

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi yapewa vifaa tiba thamani ya Millioni 217 kuwanusuru watoto wachanga

    Wakati Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ikikabiliwa na ongezeko kubwa la watoto wachanga, hasa wale wanaozaliwa kabla ya kufikia muda kamili wa ujauzito (njiti), Mpango wa NEST360 kwa kushirikiana na Wizara ya Afya umekabidhi vifaa tiba na wodi maalumu zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 217...
  4. Damaso

    Una maoni gani kuhusu kuweka midoli katika vyumba vya watoto, hasa watoto wachanga

    Wazazi na walezi mna maoni gani kuhusu kuweka midoli katika vyumba vya watoto, hasa watoto wachanga? Kuna baadhi ya watu wana hofu kuwa si salama au si sahihi kuweka midoli kwenye chumba cha mtoto, hasa wakati wa usiku. Wengine huamini kuwa ni sehemu ya ukuaji wa mtoto na husaidia katika...
  5. Damaso

    Je kuna ulazima kwa kuwatoboa pua na masikio watoto wachanga?

    Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu. Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa wazazi wenyewe huku athari zikiwa ni kwa jamii, tofauti na zamani ambapo mtu mwenye umri na rika...
  6. Blasio Kachuchu

    ATE yatoa msaada wa mashine za kusaidia kupumua watoto wachanga

    Dar es Salaam, Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimetoa msaada wa mashine za kusaidia upumuaji kwa watoto wachanga ambao hupata matatizo ya kupumua mara baada ya kuzaliwa. Msaada huo, uliotolewa mwishoni mwa wiki, unakusudiwa kuokoa maisha ya watoto wachanga na kuimarisha huduma za afya katika...
  7. S

    Mafua yasiyoisha kwa watoto wachanga

    Wadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
  8. secretarybird

    Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  9. E

    Nini Chanzo na Tiba ya Mafua kwa watoto wachanga?

    Habari! Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima. Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa. Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu. Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje? Natanguliza shukrani!
  10. Blender

    Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  11. Nyendo

    SI KWELI Watoto wachanga hawahisi joto

    Imezoeleka kuona watoto wachanga wakiwa wamefunikwa manguo mengi sana, hii sio shida iwapo hali ya hewa inaruhusu yaani ya ubaridi au ya kawaida. IIa kunaweza kuwa na hali ya joto kali watu wazima mnatamani kukaa kwenye feni ila mtoto mchanga bado kafunikwa mablanketi na kavishwa sweta, ukihoji...
Back
Top Bottom