watendaji wa mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda. Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.
  2. M

    Hawa watendaji wa mitaa na kata wana mamlaka haya?

    Msaada tutani. Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
  3. Chachu Ombara

    LGE2024 CHADEMA Nyasa: Watendaji wa Mitaa na Kata wanasimamia na kuandaa orodha ya wapiga kura kinyume na Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa kuandikisha au kuandaa orodha ya wapiga kura' Lakini mambo ni tofauti kwenye vituo."
  4. backbenchers

    Jitihada za Serikali za mitaa na kata kufunika maovu

    Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima. Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na baadhi ya watendaji wa kata na wasimamizi wa serikali za mitaa. Siku hizi tumekuwa tukiona vimbwanga...
  5. Blasio Kachuchu

    Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa waagizwa kuendeleza uhakiki anwani za makazi

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mwl. Husein Bakari amewaagiza Watendaji wa Kata na Mitaa wa jiji hilo kutimiza wajibu wao wa kuendelea kuhakiki taarifa za Anwani za Makazi na siyo kusubiri oparesheni kama inayoendelea sasa jijini humo. Mwl. Husein ambaye pia...
  6. Kiputio Og

    Kwanini Watendaji wa vijiji (VEOs na MEOs) Wanalipwa Mshahara mdogo ukilinganisha na majukumu yao?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi ngazi ya serikali za Mitaa hasa kada ya Watendaji wa Vijiji (VEO) na Mitaa (MEO). Malalamiko yanayotokana na Mishahara midogo isiyokidhi gharama za maisha. Ukilinganisha na majukumu yao na Mazingira yao ya kazi. Malalamiko na vilio vyao...
Back
Top Bottom