watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI pamoja na taarifa za jumla za uandikishaji kwe mikoa, mtoe pia takwimu hizi kwenye ngazi ya Kata na Mitaa

    Wakuu, Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha. Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa kwenye ngazi ya kata na mitaa pia taarifa hizo zipo, kwanini tunapewa kwa ujumla na si kwa kata na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Nuru ya Taifa iangazayo na kuleta Matumaini kwa mamilioni ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa Watu,anaweza leta Matumaini au kuwavunja watu moyo ,anaweza wafanya watu kuona leo ni afadhali ya jana...
  3. JamiiForums Tanzania Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

    Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona. Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao, hawapo kimasilai zaidi ya inchi. Mzee wetu wewe ndio uliobaki ndani ya chaa cha CCM mwenyewe uthubutu...
  4. JamiiForums Tanzania Tunahitaji kubadilisha mindset za Watanzania ili kuifikia nchi ya ahadi.

    Watanzania wengi (Waafrika) mindset zetu kuna namna bado haziko huru yaani bado zinatawaliwa na watu wachache hasa mataifa yaliyoendelea. Inawezekana nitakuwa natumia lugha ngumu kama nikisema tuna colonised mind. Ndio ni maneno makali lakini huo ndio ukweli. Kuna mambo tunashindwa kuyafanya na...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajali za Barabarani Litatumaliza Watanzania. Je, Kweli Serikali Haiwezi Kufanya Kitu?

    Tatizo la ajali za barabarani linazidi kuitafuna taifa la Tanzania na kuwaacha wananchi wakiwa kwenye misiba mizito ya wapendwa wao, pamoja na na simanzi zisizoisha, ni jambo hilo ndilo limenifanya nitakari kwa kina kuhusu ni nini haswa huwa kinawafanya waliokabidhiwa ofisi za umma kuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania, Uzalendo haununuliwi na tutatengeneza taifa la watu mamluki

    Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa sasa, nimekutana na vitangazo vingi vina sema Rais Samia amelipia ticket elfu 20 kwenda uwanjani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Juhudi kubwa zilizotumiwa na hayati Nyerere kupigania uhuru wa nchi zingine ulitusababishia umasikini mkubwa Watanzania

    Hivi angejikita kupambania nchi yake kwa muda wa miaka 24 aliyotawala tungekuwa wap? Lakini watu wanabaki kusifia upande mmoja wa shilingi. Huku wakisahau upande mwingine. Kwa ujumla aliacha nchi ikiwa masikini na hata tuliowasaidia kupata uhuru wanatucheka.
  10. JamiiForums Tanzania Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

    Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania. Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
  11. JamiiForums Tanzania Utulivu wa watanzania baada ya pause ya vitendo vya utekaji ni meseji kubwa kwa taifa .

    - Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa; -kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
  12. JamiiForums Tanzania Unapojishusha ni ili watu wakuonee huruma, unawaona wachawi au ni ushamba tu?

    Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu. Sasa unavyojishusha Kwetu ni kwamba tukuonee Huruma au unatuona Sisi Wachawi / Wanga au ni Ushamba tu unakusumbua?
  13. JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Watanzania kudhani masuala ya siasa hayatuhusu utatugharimu sisi na vizazi vyetu

    Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi. Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi. Bandari zinauzwa Serengeti...
  14. JamiiForums Tanzania Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana utekaji na upoteaji unaotokea haufanywi na Watanzania?

    Tangu awamu ya Tano zilisikika tetesi Kuna wageni wanashiriki ulinzi was wakubwa,lakini tetesi hizi hazikukanushwa wala kutolewa maelezo coz ishu hizi ni nyeti sana! Mwaka jana kukapitishwa Sheria ya kitengo kisiingiliwe kwenye utendaji wake pale inapokua kwenye operation na sasa Kuna kelele za...
  16. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

    Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio? Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka? By Boss la DP World aka boss la makobazi.
  18. JamiiForums Tanzania Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa? 2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala? 3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi? 4. Tunalipa kodi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  20. JamiiForums Tanzania Aibu ya Taifa:Watanzania milioni 60 hakuna anayeweza kuchonga sanamu

    Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri. Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote. Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…