watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

    Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ujuaji wa Wakenya wageuka kero, watamani upoyoyo wa Watanzania

    This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election. Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses.
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Watanzania tunakwama hapa

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimepiga hatua kubwa katika suala la utoaji wa elimu kwa watu wake. Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshubudia mabilioni ya fedha yakiwekezwa kwenye sekta ya elimu ambapo tumeona ongezeko kubwa la...
  4. JamiiForums Tanzania TOZO ni Payback ya Globalist kwa Watanzania kwa kuhepa Lockdown!

    Tanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naunga mkono Tozo kwa watanzania na iongezwe

    Wengi wanaolialia kuhusu Tozo lukuki wameichagua CCM na wanaishabikia wakuidhani wanaikomoa CHADEMA. Na muhimiza huyo Mwigulu azidishe tozo aongeze zaidi ya maradufu asiishie hapo tu atoze watu kodi hadi wanapotoka majumbani mwao. No mercy. Watu wakila mlo mara moja kila baada ya siku tatu...
  7. JamiiForums Tanzania Azzan Zungu, umetubebesha mzigo wa tozo watanzania

    Wewe ndo ulipeleka bungeni kwa mara ya kwanza pendekezo hili la tozo. Umesababisha watanzania tuwe tunalipa kodi mara mbili mbili. Umefungua mlango ambao kila mtu mwenye roho mbaya na roho ya wizi waanze kupita kwenye mlango huo. Nisiongee Sana niende tu moja kwa moja kwenye lengo. Binafsi...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufunge na Kuomba tukimlilia Mungu?

    Katika nchi yetu kuanzia juzi vilio vya makato ya miamala ya Kibenk vimetikisa nchi yetu. Kwa bahati mbaya kabisa wenye mamlaka wamekuwa wakitoa majibu ya kejeri na kiburi ndani yake. Hawasikii Wala hawana uchungu dhidi ya mamilioni ya watanzania wanao ogelea katika dibwi la umasikini huku wao...
  11. JamiiForums Tanzania Tozo zinazidi kupalilia mmea uliopandwa kwenye mioyo ya watanzania katika awamu ya 5

    Kati ya nchi nyingi za Afrika, ni nchi chache sana ambazo wananchi wake wake walikuwa na ule uzalendo wa toka moyoni kabisa, ule uzalendo wa kikondoo wa kuambiwa chochote kile na kiongozi hata wa nyumba 10 na ukatekeleza kiroho safi. Haka ka kitu sijui nikaite ni uzalendo ama ni nini, sijui...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaumizwa na tozo za kikatili na dhuluma

    Ulipe kodi kwenye kila bidhaa unayonunua- hiyo SAWA Ukatwe Kodi (PAYE) toka kwenye mshahara - Hiyo SAWA Hiyo hiyo pesa uliyonilipa mshahara na kodi yako umesha nikata, unaniwekea benki, nikienda kuichukua bado unaifata tena unaikata TOZO- HII SI SAWA. KUNA BIASHARA GANI AMBAYO IMETOA FAIDA...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe wazalendo, utanzania ni kama ngozi

    Kiukweli inasikitisha sana kuwa, moja ya mambo yanayo rudisha nyuma maendeleo ya miradi na maendeleo kwa ujumla ni sheria ya manunuzi ya umma. Nadhani wengi wetu tumeona waraka kupitia whatsap grup na sociali media nyingine juu ya kurekebisha kanuni za manunuzi ya umma. Kwakuwa hii ndio fursa...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Watanzania tuzijue sheria za nchi yetu

    UTANGULIZI Imepita takribani miaka sitini tangu Watanzania tupate uhuru mwaka 1961 chini ya baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na sasa ni awamu ya sita chini ya rais wa Jamhhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Kwanza natoa pongezi kwa Serikali za awamu zote kwa kupambana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania ongeeni vitu vya maana ambavyo ni mtambuka na Duniani

    Kila muda kila siku mtanzania ni zuzu posts za kijinga, kila mahali, mijadala ya kizuzu maredioni, Twitter, insta, jamii, Facebook , WhatsApp, critical and analytical observations zero, logic na reasoning ni zero, comedy maudhui hayana akili, kupanic kwingi, kuvumiliana sifuri, kuheshimu mawazo...
  16. JamiiForums Tanzania Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

    Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo. Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania mna kichaa!?

    Kuna mkatoliki aliwahi kuandika kitabu chenye jina la ''Wakatoliki mna kichaa?'' Alikuwa amehama dini flani na kuingia kwenye Ukatoliki. Leo na mimi naomba niwaulize watanzania(au angalau watanganyika) mna kichaa!? Hivi ndivyo mataifa au mgeni yeyote akija Tanzania atajiuliza na pengine...
  18. JamiiForums Tanzania Mwisho wa kulilia, kulalamika kwa Watanzania ni lini?

    Najiuliza watz mtalia Lia mpaka lini? Kiufupi naomba spana ziendelee. Taifa la watu wajinga Ili kulikomboa na kuwapa awareness ni kuhakikisha unawaongezea tozo Nothing else Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7 nikuwaongezea tozo TU Kwa Ili mama unadi-serve tuzo ya Heshima. That all
  19. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya, Watanzania wengi wamekuwa masikini zaidi awamu hii ya sita

    Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu! Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo. Wengi wetu vipato vyetu ni vilevile, lakini gharama za maisha zimepata mara dufu! Kwa lugha rahisi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 Watanzania tupige kura 5

    Heshima kwenu wakuu! Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya hivi karibuni ni wakati sasa kwa Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…