Bado hali si rafiki kwa CHADEMA kila siku wao na mahakama, kesi zimezidi kulindima kila kukicha kwao>
Au tuseme serikali ya CCM imeendelea kuwazofisha tu, na ukizingatia Kuna mipango ya maandamano ya Oktoba 29
===============
FAHAMU kwamba shauri lililotajwa hapo juu limepangwa kuitwa kwa ajili...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 25, 2025 Wakili Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia Chama cha ACT Wazalendo akielezea muenendo wa baadhi ya kesi zinavyoendeshwa kwenye Mahakama nchini maamuzi yake haitolewi kwa kuzingatia haki wala kufuata katiba
Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.