watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanganyika Hawaipendi Tanganyika Yao?

    Mimi ni Mtanzania. Nimezaliwa na kukulia upande wa Tanzania Bara, yaani, Tanganyika. Nimeshamsikia zaidi ya mtu mmoja akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar. Lakini sijawahi kumsikia mtu akijitambulisha kuwa ni Mtanganyika. Mimi binafsi sijawahi kifanya hivyo. Je! Inawezekana Watanganyika...
  2. JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter. "Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza kuwa mkuu wa wilaya Bara. Sasa huu ni muungano wa namna gani? Ndio maana tunahitaji #KatibaMpya kuondoa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ihamishe nusu ya wakazi wa Zanzibar iwalete Tanganyika na kuhamishia watanganyika kule kuuenzi Muungano

    Hili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa. Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini uliopo Zanzibar.
  4. JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
  7. JamiiForums Tanzania Tukichana na keyboard warriors, Watanganyika tuna mtu yupi wa uhakika anaeweza kutupigania tuwe na Tanganyika yetu?

    Niite utakavyo lakini nachokiona kwa mwacho yangu kwa sasa huu muungano gia zimebadilika angani, Alieuanzisha na kuusimamia kwa kiasi kikubwa kashatutoka na kwa sasa gia zimebdailika na kibao kimewageukia Tanganyika, Tanganyika inakamuliwa vibaya mno aisee japo kwa wazanzibari malalamiko yao ni...
  8. JamiiForums Tanzania Akamatwa akiwa na mikoba/pochi 135 aliyokwapua sehemu mbalimbali

    Mnamo tarehe 05/03/2022 kuanzia majira ya saa 12 : 00hrs mpaka saa 12 : 00hrs a/insp Fadhil wa CID Madema akiongozana na makachero wa kituo hicho walifanya msako maalum wa kumtafuta mtuhumiwa anaejihusisha na vitendo vya wizi wa kukwapua vipochi pamoja na mikoba sehemu zenye msongamano wa watu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watanganyika do we have "BALLS"

    1. Wazanzibari walipoambiwa Zanzibar kuna mafuta walipambana hadi wakaondoa mafuta kwenye mambo ya Muungano lakini bado hela ya madini ya Mererani inaenda kununua CT scan hospitali za Pemba. 2. Wamepambana kuondoa bandari ya Zanzibar chini ya TPA na kuanzisha mamlaka yao ya bandari lakini bado...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar. Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Sisi Watanganyika nani atatusemea

    Mheshimiwa Zitto: Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar. Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa. Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa kuwaamsha Watanganyika

    Maana hizi sherehe kubeba jina la Uhuru wa Tanzania huwa ni batili waandalizi inafaa wafunguliwe mashtaka kwa kutumia Jina la Tanzania kuchota hela na kusheherekea Uhuru wa nchi ambayo ilishafutwa na haipo inakuwaje? Sasa sio katiba mpya bali na Tanganyika lazima iwepo ili hizi sherehe za kila...
  14. JamiiForums Tanzania Tusibaguane, sote tuliitwa watanganyika

    Tarehe 9 ya mwezi wa kumi na mbili, mwaka 1961, Tanganyika ijitwalia uhuru wake toka mikono mwa mwingereza, mlezi wa makoloni yalikuwa chini ya mjerumani baada ya kushindwa vita. Watu wote waliokutwa katika ardhi ya Tanganyika, siku ile ya kuishusha "Union Jack",na kuipeperusha bendera mpya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Watanzania Bara kuanza kuteuliwa Zanzibar

    Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao. Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu...
  16. JamiiForums Tanzania Ninaipongeza serikali ya Uingereza kwa kuwavumilia Watanganyika

    Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Mwaka huu na ujao 2022 katiba ni lazima ipatikane CCM wakitaka wasitake na kama hawataki wakae pembeni maana saa mbaya! Umma umeanza kuiva na uvumilivu juu ya genge la CCM lililojipenyeza kwenye vyombo vya dola sasa upo wazi na wanaofaidika na hayo si wengine ni wale walio juu ya mstari viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…