Kwa muda sasa, waendeshaji wa safari (waongoza watalii) nchini Tanzania wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu...