Wakuu,
Oct 25, 2021 mahojiano na machinga Kariakoo kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa Dar wakati huo Amos Makalla kupiga marufuku shughuli za kibiashara ndogondogo katika maeneo yasiyo rasmi kama juu ya mitaro, mbele ya shule za serikali au taasisi za serikali, pamoja na hifadhi za barabara zote...
Mbeya University of Science and Technology (MUST)
Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo.
Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo.
Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku.
Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko...
Huu ni ukatili wa mfumo wa ajira ambao unaendelea kunyonga ndoto za vijana wa Kitanzania waliokaanga akili darasani, wakavumilia kusota kwenye maktaba, wakaishi kwa mihangaiko ya boom isiyotosha, leo hii wanaishia kuwa “maboys wa mitaani” au “madame za kwenye saluni”, ilhali wana vyeti...
Ndugu ..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,
Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi...
"Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu...
Taifa limejaa wasomi ila ukisikiliza wanachoandika (kupitia machapisho yao) na wanachoongea unaweza kulia. PhD zimejaa kwenye siasa na kuacha mediocre kwenye academia.
NB: Duniani huko Scholarship na Grants zimeanzishwa kusomesha na kufadhili tafiti za kutatua matatizo pia kuwaenzi wasomi...
Hapo vip!!
Kwa awali ya yote niandike kirefu cha TOEFL ni Test of English as a foreign language na IELTS International English language Testing system .
Ndugu zangu awali ya yote niseme tu nasikitika sana kuwepo na kuzaliwa katika nchi kama hii inaitwa Tanzania.
Lakini pia sisi sote ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.