Naweza kusema kweli huwa nina mapenzi ya kweli katika mahusiano, nasema hivi maana huwa nikimpenda mwanamke katika mahusiano basi huwa namaanisha ila shida huja pale ambapo nahisi nimepata mwanamke tofauti na matarajio yangu.
Nasema hivi maana asilimia kubwa ya vile vigezo vya ndani kabisa...