washauri wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Rais Samia angekuwa na washauri wazuri wangejiuliza kwa nini kila analofanya halikubaliki kwenye macho ya Watanzania.?

    Ni kama serikali ya rais Samia haifanyi lolote kwenye macho ya watanzania. Ujumla kila analolifanya ni kama void and null. Nimekuwa na mazungumzo na mmoja wa wakufunzi kwenye chuo cha ualimu sitaki kukitaja. Akaniambia yeye mwenyewe anashangaa sana maana kila analolifanya rais Samia ni kama...
  2. Genius Man

    Majaliwa na Mpango kuteuliwa kama washauri wa Rais ni mkakati wa kupambaza

    Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa Washauri wa Rais. Akizungumza leo, Januari 10, 2026...
  4. tonicimmobility

    Washauri anaoendelea kuwashikiria rais Samia siku si nyingi watampeleka shimoni

    Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo. Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!
  5. B

    Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi...
  6. M

    Wakili awasilisha ombi Mahakamani kuzuia Rais Ruto kuteua washauri zaidi

    Ombi limewasilishwa katika Mahakama ya Milimani likilenga kumzuia Rais wa Kenya kuteua washauri wapya. Wakili Vincent Lempaa Suyianka ndiye aliyepeleka ombi hilo mahakamani, akitaka pia serikali isimamishe ulipaji wa mishahara kwa washauri 21 waliopo kazini kwa sasa. Kwa mujibu wa Suyianka...
  7. Mindyou

    Washauri watatu wa zamani wa Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye watupwa gerezani kwa tuhuma za uhaini

    Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini. Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa...
  8. The Boss

    Rais akikosea aambiwe ukweli hadi aelewe

    Wakati wa Magufuli niliwahi andika hapa kama Magufuli anao watu wa kumwambia ukweli na akawasikiliza, nilitoa mfano wa Fidel Castro alivyokuwa anaogopwa na watu wengi sana lakini walikuwepo watu wawili walikuwa wana uwezo wa kumwambia ukweli Raul Castro mdogo wake na Comrade Che Guevara. Hawa...
  9. benzemah

    Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:- (i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa; (ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo...
  10. Bams

    Rais, Fukuza Washauri Wanaofanya Vetting

    Urais ni taasisi kubwa sana, unaotegemea sana utendaji wa idara mbalimbali. Idara hizo zisispofanya kazi vizuri, lawama zote zinaenda kwa Rais na Serikali nzima. Ukweli ni kwamba, hata kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi gani, hata tukawa na vyanzo vya kuingiza pesa nyingi kiasi gani, bila ya...
Back
Top Bottom