wasanii

  1. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Matamasha ni faida kwa Wasanii au ndio Mwisho wa Mipaka yao ya kazi..?

    kwa sasa kiwanda cha burudani kimechangamka na kimechangamshwa na uhasama wa Media houses mbalimbali za hapa nyumbani, kila media sasa ina Tamasha lake, pia kuingiza mkono kwenye matamasha mengine kama Udhamini wa matamasha yanayoandaliwa na Makampuni makubwa ya simu, vinywaji baadhi yao hupewa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wa Bongo hawajui kujieleza?

    Habari wanajamii. Nimekuja na swali hili baada ya kumsikiliza Ali Kiba alipotutangazia anakuja na kitu babukubwa tukamsubiri kwa hamu lakini alipoanza tu ile intro ni kama mtu anaeongea na masela tu kitaa hajui kama anaongea na East Africa nzima. Hata Diamond huwa ana huo ugonjwa, yaani...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni ipi nafasi ya wasanii wa kizazi kipya kumulika uhalisia wa jamii yetu?

    Habarini za muda huu wakuu. Natumai mu wazima wa afya. Kijana wenu nimejitupa jamvini leo nikiwa nahitaji tujadili kidogo namna sanaa ya nchi yetu inavyokwenda. Kijana wenu nilijaaliwa kusoma fasihi ya Kiswahili na sanaa kwa uchache sana. Aidha, katika harakati hizo za kusoma fasihi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji unaofanywa na Diamond/WCB kwa wasanii hauna tofauti na ule wa Clouds na waliekuwa wanamtuhumu

    Uongozi wa WCB chini ya Diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina Chief Mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita kiasi. Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji...
  5. JamiiForums Tanzania Wasanii hawa wabadilike mara moja

    Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini, kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo. Sitaki kusema ni tabia gani lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani wanafanya. Hii itawakosti siku moja wasipoacha. List ni hii: 1. TID 2. Daz Baba 3. Squezer 4. Chid Benzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…