Msanii maarufu wa vichekesho, Mpoki, ameilaumu Jeshi la Polisi akishangazwa na kutokamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya MC Pilipili hadi sasa. Akihoji kwa masikitiko, alisema:
"Wakati nasikiliza ile ripoti nilitegemea kwamba tunapomzika leo, tayari watuhumiwa wangekuwa rumande. Siingilii kazi ya...
Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu.
Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza kuwa mwananenguaji – kweli fedheha tupu!
Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya.
Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
Hata hivyo, wakati mastaa...
Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amewakosoa vikali watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani kwa kutoa kauli za kejeli dhidi ya baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Bongo ukiwa na Akili haufai njaa !!.
Wabunge wenyewe wa CCM ndio Hawa wa Community Concerning Tainung institute !!
Wasanii wameamua kucheza na akili za Watía Nuru .
Ni hivi, Asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM ni wakubebwa, hawana Uwezo, saladu ni ni Low IQ.
Sasa haya makanjanja wasaniii...
Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram
Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike...
Hii ni kwa sababu wametajwa kuunga mkono chama cha siasa kinachohusishwa na Utekaji na Mauaji ya Wapinzani na Wananchi
Habari za Watu kutekwa, kupotezwa na kuuawa ikiwemo na kubambikia wengine kesi kubwa za uongo, imefika EU na USA, Mikeka ya orodha ya watakaopigwa marufuku kukanyaga Ulaya na...
Msaniii wa Muziki wa Bongo Fleva Madee amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki hali inayopelekea kupewa hadhi ya viwango inayostahili.
Madee amezungumza hayo baada kutoa burudani yenye viwango vya kitamtaifa katika...
Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja.
Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi.
Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi.
Mfumo...
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amewataka wasanii wa Tanzania kutumia ushawishi wao kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma tarehe 3 Machi 2025...
Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia...
Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta
===========
Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu limeridhia na kulipokea jina la SAMIA KINGS walilopewa baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za...
Wakuu
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo fikiri kwamba labda wanapenda kufanya hivyo.
Kwa mtizamo wangu nazani kwa mfumo wa siasa za hivi leo...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.