wasambaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Presha ya maandamano: Ulinzi waimarishwa Dar, Askari wasambaa vituo vya mwendokasi na makutano ya barabara

    Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana kufanya doria na kuweka ulinzi katika vituo na makutano muhimu ya barabara. Mwananchi imezunguka...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sifa za Wamakonde na Wasambaa

    Kesi ishakua ngumu 🤦‍♀️ Wenye uzoefu wa tabia, sifa na hulka za haya makabila mawili naomba mnijuze maana ……………..
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Historia ya Wasambaa

    Kuna uhakika na kuaminika kwamba, Wasambaa ni moja ya makundi ya Wabantu wanaotokea Afrika Magharibi na Kaskazini wakipitia nchi za Ethiopia na Kenya. Wasambaa ni tawi lilomegega kutoka kwa Waasu/Wapare. Wachaga n.k. pindi wakiwa safarini kuja Tanganyika miaka zaidi ya mia nane (800) iliyopita...
Back
Top Bottom