wapumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  2. Genius Man

    Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi

    Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu. Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga kiasi gani ni kwanini tunakuwa mabichwa bungo hivi ? yote haya ni kwaajili ya kumfurahisha mtu mmoja...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  4. Tajiri wa kinyankole

    Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  5. ELI COHEN

    Katika wapumbavu mia angalau muweni welevu wawili wenye kuendeshwa na utashi na tafakuri binafsi bila mihemuko na trend

  6. Genius Man

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  7. Genius Man

    Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu, hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kibali mtu namba moja unayempinga

    Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga. Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
  8. DodomaTZ

    Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

    Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia. Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
  9. Genius Man

    ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue

    ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
  10. technically

    Waandishi acheni kuwapa airtime Mashekhe ni wazi wananunuliwa

    Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC? Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC? Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC? Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC? Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
  11. Lord Denning

    Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

    Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni. KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka...
  12. Genius Man

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  13. Swahili_Patriot

    Dalili za awali wa anguko la CCM

    Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti. Kwa haya yanayoendelea...
  14. Sir John Deere

    Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  15. Lattafa

    Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

    Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana" Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu. Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
  16. Carlos The Jackal

    "Kuna Maisha baada ya Uchaguzi" Kauli ya Kipuuzi inayotumiwa na Wapumbavu kuhalalisha Maisha yao ya Kifisadi !!

    Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii . Hoja zao ni zile zile Amani ikipotea tutaseka. Tuilinde Aman yetu . Kuna Maisha baada ya Uchaguzi. Wapumbavu Wakubwa Nyinyi ,msokua na Haya ,majizi na wazandiki ,mifilisi ya Nchi hii Maisha...
  17. 4

    Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

    Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi. Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k Majuzi...
  18. Lord Denning

    Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba Hakuna Nchi yenye Watumishi...
  19. 1Africa54

    Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN

    Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN wewe ni fala tu SIMBA na YANGA zimekua dini za vijana wapumbavu upo tayari kumtukana mwenzio pia hata kufa sababu ya simba au Yanga wewe ni kilaza Leo unamchukia chama kisa yupo Yanga...
  20. TheForgotten Genious

    Mwendokasi Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara pekee

    Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara. Kwamba mtu atumie usafiri mwingine kufika gerezani kutoka anakotoka ama kimara kupata card tena arudi alikotoka ama aende anakoenda? kwanini hizo card zisipatikane katika kila...
Back
Top Bottom