Shule namaliza sina pa kujishikiza, nabaki najiuliza nitafanya kazi gani? Kwenye kila kampuni kazi haipatikani.
Heri kilimo ingekuwa ni nafuu, lakini pembejeo nazo leo bei juu. Heri kwa watoto wa Wakuu wanaopata kazi kwa kupitia wazazi. Hii siyo sawa kwao hii ni sawa. Mungu awape nini labda...