wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 ni nafasi ya tatu na Mwisho kwa JWTZ kuonyesha Uzalendo wao tutawahukumu baada ya hili

    Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa. 1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea 2. October 29 Mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu

    Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu. Sisi tukiongea hatua kali zinachukuliwa. Mtaua wangapi? Watawala wanataka waongee wao tu. Mwanchi akiongea anatafutwa alipo ili wamuue. Msikilize huyu bibi hapa kwenye Video Wananchi wote wale watapewa hela walete...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wenye 'Lower Second Class' kuanzia 3.0-3.5 GPA hubezwa, ila wenye 'Pass Grade' 2.0-2.9 GPA 'hawabezwi' wakati Wao ndiyo Wamefeli mno?

    Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania BAKWATA ifanyiwe pia reform. Asilimia kubwa ya Watanzania tangu enzi na enzi hatukubaliani na uongozi wao.

    Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya matamko yao wanafanya kwa niaba yao , hawafanyi kwa niaba ya waislamu wote wa TZ kwa ujumla . Asilimia...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekana kuwa ni visasi, maana kila idara wamewekana wao kutoka Zanzibar

    Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa. Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona maovu ambayo mlisahau historia ndefu sana ambayo ni ngumu kwa watanganyika. mlipo mnakazi kazi ngumi...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

    Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
  10. JamiiForums Tanzania Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  11. JamiiForums Tanzania Genge la wahuni ni lipi kati yetu na wao?

    Wanaiba mali za umma, wanauza hovyo rasilimali za taifa. Hawataki tuwaambie ukweli kwamba hii nchi ndiyo kwetu. Mukiitapanya leo tutaishi wapi kesho? Watoto wetu, wajukuu na vitukuu na vizazi vijavyo, wataishije kesho kama hamzingatii leo yetu? Tukiwaambia hawatusikilizi. Wanatuteka...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Jana Nilikuwa NMB kwakweli mtandao wao ni mzito sana nimeamua kutoa Hela zangu zote niweke akiba zingine

    Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system . TAhadhari ni muhimu
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo polisi walioko doria mtandaoni WAKO NORMAL wanavyoona watu wanavyoumia kisa wao?

    Enyi polisi mlioko doria mtandaoni MKO NORMAL mnavyoona watu wanavyoumia kuomboleza KUULIWA ndugu zao? Lakini Yesu aliwaonya muwe watu wa haki.
  14. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wakumbushia kuwa wao ndio walifufua TAZARA

    Ubalozi wa Marekani umeandika katika ukurasa wake wa X Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya injini za TAZARA zina nembo ya ushirikiano ya Marekani? Reli ya Tanzania–Zambia ilifunguliwa mwaka 1976 kwa lengo la kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka miwili tu baadaye—mwishoni...
  15. JamiiForums Tanzania Janga wachume wao, Kula tule Sisi !!!

    Hata wahenga walisema mchuma janga hula na wakwao na sio mchuma Janga hupelekea wengine wakale...; Ni mengi yalikuwa yakitokea na tuliyaona tangia kitambo; Impunity, Ufisadi, Ufujaji na sio tu kutokujua kula na vipofu bali watu walikuwa mpaka wanawatemea mate let alone kutokuwashika mkono...
  16. JamiiForums Tanzania Wamama wafiwa wa vijana waliouawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi

    Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi. Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
  17. JamiiForums Tanzania Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
  18. JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kumtumia 'Super Black' wetu kwa miaka 10 tufanikiwe, acha Wao sasa wamtumie 'Skafu Skafu' wapige hatua zaidi yetu

    Na ndiyo maana nilifurahi mno kuona Super Black kachezewa mchezo alikokuwa na sasa hayuko kwani hakutusaidia.
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mababa Askofu msiwajibu Masheikh wanaotumikia mfumo, waoneeni huruma maana kula yao inatokana na wao kutumika

    Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini. 1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…