Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother is President of Tanzania Samia Suluhu Hassan.
“Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na Kanzu atauza Nchi yetu.?, Walisema hivyo hivyo wakati wa Ridhiwani” Abubakar Asenga, Mbunge wa...
Katika karne ya 19 na mwanzo wa karne ya 20, Ulaya ulikuwa ukielezwa mara kwa mara na wanahistoria kama “familia moja kubwa ya kifalme.” Kwa kweli, majumba ya kifalme ya Uingereza, Urusi, Ujerumani, Norway na Ugiriki yaliunganishwa si kwa siasa tu bali kwa damu ya familia.
Ukitazama hiyo picha...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amevitaka vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) nchini kurejesha kozi za muda mfupi za kilimo na ufugaji zilizokuwa zimesitishwa, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi unaoendana na mahitaji ya maeneo yao na kujiajiri baada ya kuhitimu.
Wanu...
Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira.
Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, wamesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuendeleza mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini.
Akizungumza mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara tarehe 18 Novemba 2025...
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri akisaidiwa na Wanu Hafidh.
Pia Soma: Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wanu Hafidh Ameir, amesema uamuzi wa Chama cha ACT Wazalendo kutoweka mgombea wa urais mwaka huu ni ishara tosha ya kutambua kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amethibitisha kuwa ni mwanamke...
Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amewaahidi wananchi wa jimbo la Makunduchi kuwa atahakikisha anasaidia utatuzi wa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama ili wananchi wafaidike na huduma hiyo muhimu kwa mahitaji ya kibinaadamu na kijamii...
Kwahiyo anachokifanya Wanu ni Rushwa au si Rushwa kwa sababu dola anatawala Mama, na kuna haja gani yeye kupita nyumba kwa nyumba wakati hana mpinzani :FeelsWeirdMan:
------------
Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Wanu Hafidh AMeir akipita nyumba kwa nyumba...
Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
Wakuu,
Wanu ameyasema hayo huko Viwanja vya Mtende kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho kwa Wilaya ya Kusini Unguja, uzinduzi huo Mgeni rasmi ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.
Maafisa usafirishaji maarufu kama Bodaboda leo wamempongeza mbunge mteule wa jimbo la Makunduchi lililopo Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kusini Visiwani Zanzibar Wanu Hafidh Ameir kwa kuwapa reflector kwaajili ya usalama wanapofanya shughuli zao za usafirishaji
Maafisa usafirishaji hao wametoa...
WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR
Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu Hafidh Ameir kama mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi katika kipindi hiki ambacho kuna miradi...
Wakuu,
Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Wanu Hafidh Ameir jana tarehe 22 Machi, 2025 amekabidhi kisima cha maji katika Kijiji cha Miwaleni Makunduchi kitakachosaidia kutatua changamoto ya maji kijijini hapo.
Itakumbukwa kuwa...
Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.
Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 16 Februari, 2025 iliandaa Mahafali ya Tatu (3) ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu kidato cha Nne (4) wa Skuli ya Hasnuu Makame ambao walipata Division 1 kwa wanafunzi 51 na Division 2 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.