Nawaza tu kwa sauti, msije sema mimi mnazi ila kwa yanayoendelea kipindi hiki huko Iran na Ukraine. Naweza sema Manazi wa Germany walikuwa mbele sana ya muda.
Haya majitu mawili hapa Duniani Israel na Russia yamekuwa mwiba mkali sana kwa wapenda Haki, uovu wao hadharani umechoma Mioyo ya wengi...