wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  2. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  3. Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni...

    Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?
  4. T

    Kuanguka na kusimama kwa safari ya uongozi kwa wanawake wenye ulemavu waliofanikiwa Zanzinzibar

    Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika akisema."Mtu kuwa na matatizo ya kuona haina maana kwamba hawezi kuona matatizo tunayopaswa kuyatatua...
  5. Wanawake muwe na huruma jamani

    Pichani ni wazazi wakiwa wamehudhuria mahafali ya kijana wao aliyehitimu mafunzo ya jeshi. Unaweza kuona namna wazazi walivyochakaa kwa kumpigania kijana wao afikie ndoto zake pengine wameuza hata ardhi zao na mifugo, fikiria mama kavaa raba za kamba zimechakaa hatari kwa kulima. Cha...
  6. M

    PreGE2025 LGE2024 Rushwa ya Ngono Zanzibar inachangia kuwarudisha nyuma baadhi ya Wanawake kuwa Viongozi

    “Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa. Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo liwe siri, libaki milele kwenye shimo la nafsi yake, hakutaka mume wake ajuwe nini kilimkuta hata...
  7. PreGE2025 LGE2024 Vyama vya Siasa ongezeni uwakilishi wa Wanawake kwenye nafasi za uongozi

    Wakuu nawasalimu. Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na maamuzi. Kupata Taarifa na Matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kila mkoa...
  8. Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
  9. Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

    Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na...
  10. Wanawake wanapenda ukombe mboga yote

    Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka kesho huwa wanaikumbusha kwa kucheka kumbe mimi zilikuwa tungi tu.wemyewe eti wanajua niliona mboga...
  11. N

    Hivi kwanini wanawake wa “Daslamu” wanajichubua sana?

    Wikiendi iliyoisha nilikuwa kwenye jiji lenye fujo daslam. Hili jiji kila mwanamke unaekutana nae anatumia mkorogo. Alaf wanatumia mikorogo bila kutumia sunscreen matokeo yake wanakuwa wekundu kama kitimoto. Daslam kwasasa ukikutana na mwanamke mweusi ujue una bahati. Naiomba serikali...
  12. Kwanini wanaume wanapenda kufanya mapenzi na wanawake wengi tofauti wakati wanawake ni kinyume chake?

    Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache? Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara...
  13. Kama Mwanamke anakukwaza, hakutii ; Quran inasema mpatie kipigo akili ikae sawa

    Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha, Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao. Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu.
  14. Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  15. PreGE2025 Wajumbe Wanawake Kamati za Shehia waleta mabadiliko Shehia za Micheweni, Sera usawa ya Kijinsia bado kitendawili

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake. Uwepo wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 na Mkakati wa Utekelezaji wake ya mwaka 2005, unathibitisha dhamira ya wazi ya Serikali ya kukuza usawa wa...
  16. Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  17. Wanawake wengi wanadanga ili wapate hela ya kununua taulo za kike

    Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
  18. Wanawake wanafanya mahusiano kama ajira

    Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima?? mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka kuhudumiwa kama mke wa wan ndoa, Aisee nimeshangaa sana bora nitafute visa tu nikimbie nchi hawa...
  19. Asilimia kubwa ya wanawake kwenye baa kwa sasa wanajiuza, zamani ilikuwa tofauti

    Wakati nilipokuwa shuleni sekondari o-level enzi hizo pale Tanga Tech, japo ilikuwa ni bweni na ukali wa head master Mr Teti, mara kadhaa mimi na marafiki zangu tuliweza kutoroka na kutinga sehemu za starehe kama Raskazone Beach ama club LacasaChika kwa ajili ya kuburudika kimziki. Huko...
  20. Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…