wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwann wanawake wanavumilia umasikini wa baba zao na sio wa waume zao.

    Ni wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes. Ukiangalia mahusiano mengi yamejengwa kwenye pesa ukitaka kuthibitisha ili check wanaume wastaafu wanayopitia...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe na kuna wanawake wanawakataa watoto wao

    Hii imeniumiza sana story ya huyu dogo
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wakimbilia polisi baada ya kutolewa mapepo kwa kuchapwa viboko

    Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko, tukio hilo limetokea kwenye Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet...
  4. JamiiForums Tanzania Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Hamas waliwateka wanawake ili kuwabaka

    Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa watekaji wake alimnyanyasa kingono. Hawa ndio Hamas. Wanawake sio mateka tu; ni waathirika wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
  8. JamiiForums Tanzania Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  9. JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi hii Tabia ya wanawake (wake zetu) kuacha simu ovyo ni ya wanawake wote ama mimi tu?

    Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati. Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua. Visingizio hivi ni vya miaka na miaka haijawahi kubadirika kitu. Kuna muda itakupasa upige simu kwa jirani maana...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini. Dkt. Mpango ni mgeni rasmi katika kuhitimisha mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Mradi wa Shamba kwa Wanawake Wafanyabiashara Wadogo Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi ▪️Awatafutia soko la uhakika wa mazao yao ▪️Rais Samia apongezwa kwa miundombinu rafiki ya biashara...
  14. JamiiForums Tanzania Utulivu na Papara: Msichana akishindana na mvulana

    Angalia video clip Wanaume wengi huwa wanafikiri spidi na nguvu ndiyo muhimu zaidi kwenye kupata mafanikio. Ila tunakumbishwa utulivu na mbinu zisizotetereshwa na kelele za watu ni moja kati ya siri kuu. Dakika za mwanzoni, ilionekana kama mvulana atashinda kwasababu ya uwezo wake wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

    KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake. Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake Viongozi wa Simiyu Wapatiwa Mafunzo Kuimarisha Utawala Bora

    📍 WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA 📅 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius Chatanda, ameongoza ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kutoka mkoa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ni salamu zangu za Pole kwa Wanawake wote mnaopitia Changamoto ya Uzazi

    Wakuu. Leo ngoja nije niwape pole mama zetu, dada zetu na wadogo zetu wa kike wanaopitia changamoto za uzazi. Hauwezi amini ila amini amini nakuambieni maumivu ya mwanamke ya kuishi bila kua na mtoto wa kumzaa hayazungumziki na hayachunguziki. Poleni sana wanawake wote mnaopitia changamoto za...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

    Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

    WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA JUU 1. MBINU YA KUPAKI BASI Hawa ni wale kwenye mahusiano ambao wanasubiri Mpaka mwanaume afuate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…