wanaofanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Ujinga wanaofanya watu wa parking za mjini

    Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000 Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na...
  2. TPRB yawaonya wanaofanya shughuli za mipangomiji bila kuzingatia sheria

    Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) imewataka wananchi, wadau na wataalam wa mipangomiji nchini kuhakikisha kuwa utekelezaji wa shughuli zote za mipangomiji unazingatia kikamilifu sheria, kanuni na miongozo. Agizo hilo limetolewa na Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wataalam wa...
  3. Mwigulu: Serikali haitavumilia watendaji wasio wajibika wanaofanya kazi kwa mazoea au ujanjaujanja

  4. UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  5. Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji

    Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji.
  6. PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaofanya chokochoko mtandaoni wanataka kuharibu uchumi wetu ili washindani wetu wanufaike

    Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe. Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana wanafanya hayo yote, kutokana na maendeleo tuliyopiga kiuchumi kuna mpaka nchi zinakuja kujifunza...
  7. M

    CCM idhibiti makada wake hasa kutoka UVCCM wanaofanya press conference zinazokiharibia zaidi chama kwa wakati huu

    Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
  8. Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  9. Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  10. Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

    Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote. Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia...
  11. S

    Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu

    Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu
  12. Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  13. Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  14. Wimbo wa ONLY GOD CAN JUDGE ME, Tupac alisema "Na wanasema ni Mzungu ninayepaswa kumuogopa, Lakini ni wa aina kama yangu ndio wanaofanya mauaji hapa"

    "And they say it's the White man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here" Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios. Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
  15. Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo?

    Naomba tujadili hii maada kwa kirefu. Mada yetu: Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo? Katika medani ya kimataifa, China na Marekani hushindana vikali kiuchumi na kiteknolojia, kila taifa likitaka kuwa kinara wa dunia. Vita hii ya kiuchumi mara nyingi...
  16. CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  17. Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
  18. B

    KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  19. Gachagua atishia kuwataja wanaofanya utekaji

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa wameripotiwa kutekwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama siku za hivi huko nchini Kenya.
  20. O

    Hivi wanaofanya UCHAGUZI wa mwenyekiti wa Chadema yaani wapigakura ni nani?

    Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema umekaribia. Makelele mengi kutoka mjukwaa mbalimbali,vyombo vya habari na wadau wa kisiasa na kidemokrasia wanatoa maoni, wengine hata wanalazimisha kupiga Kura Kwa kutaja jina la mgombea mmojawapo kati ya waliochukua fomu.Duh! Sasa wadau je Demokrasia ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…