Salaam.
Happy saba saba day, Twende kwenye topic, Nimekuwa nikikutana na clips nyingi kwenye youtube channels za ma MC's wa shughuli za harusi na kushudia vile watu wanakiwa wanasherehekea kuingia katika ndoa, promises kibao na mambo kedekede, inshort huonesha kwamba kwamba wako smart couple...