wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Makurunge Bagamoyo: Vurugu Kati ya Mwekezaji na Wananchi Baada ya Wananchi kuvamia Ardhi ya Mwekezaji

    Hali sio shwari Maeneo ya Makurunge kutokana na vurugu kati ya Mwekezaji Mika Meat na wananchi. Vurugu hizo zimepelekwa baadhi ya wananchi kuumia na wengine kupelekwa hospital. Vurugu hizo zimeanza kama wiki mbili zilizopita baada ya wananchi kuvamia shamba la mwekezaji na kudai kubwa ni eneo...
  2. Askari Feki wanaswa Mkoani Mbeya wakipora mali za Wananchi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Septemba 28, 2023 hadi Oktoba 02, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 22 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, unyang’anyi, uvunjaji, kupatikana na nyara za serikali, kupatikana na bunduki bila kibali, kupatikana na dawa za kulevya na...
  3. Kushindwa kusalimisha silaha kwa hiari Jela miaka 15 au Faini Milioni 10 au vyote kwa pamoja

    Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
  4. M

    Serikali yatumia nguvu kubwa ya Polisi kutaka kuzuia kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari

    Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo. Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
  5. Wananchi walia na ujenzi wa Daraja Kijiji cha Komdudu (Tanga), wadai wanateseka kwa muda wa miaka miwili

    Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika. Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
  6. Bwawa la Nyumba ya Mungu na maisha ya wananchi

    Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake. Taifa letu limejaaliwa rasilimali nzuri sana kwaajili ya kufanya uvuvi endelevu Tanzania kuna mito mikubwa kama mto...
  7. Wananchi wa Kitongoji cha Gomora waamua kuongeza kasi kwenye ujenzi wa shule shikizi

    Kitongoji cha Gomora ni moja ya vitongoji vitatu (3) vya Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja Vitongoji hivi vitatu (3) vinayo Shule ya Msingi moja iliyojengwa Mwaka 1959 na Kanisa la Mennonite. Shule hiyo (S/M Musanja) kwa sasa ni ya Serikali. Matatizo makuu yanayowakabili wanafunzi wa S/M...
  8. Kwanini Watendaji na wenyeviti wa mitaa/Kijiji huuza huduma za kiutawala kwa wananchi?

    Wadau mtakubaliana na Mimi haya mazoea yamekuwa Kama uhalali na Sheria kwamba ukiingia kwenye ofisi ya afisa mtendaji au mwenyekiti lazima uandae sh 2000-5000-20000 kwa ajili ya kupata huduma (mara nyingi huwa muhuri tu wa ofisi) Miaka nenda miaka rudi haya mazoea hutendeka sijui imeidhinishwa...
  9. Vyombo vya dola vimeipora Ikulu kutoka kwa wananchi

    Nikiwasalimu itikieni Enzi za Mwalimu, Ikulu ya Dar ilikuwa na uzio wa michongoma na maua sambamba na uzio wa wavu eneo lenye wanyamapori wanaofugwa Ikulu. Enzi hizo tuliweza kuona uzuri na umaridadi wa Ikulu yetu. Wapita njia hususan wageni waliweza kutembea pembeni ya uzio wa Ikulu bila...
  10. Uelewa wa wananchi kuhusu haki, uhuru na demokrasia umeongezeka pakubwa nchini

    Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
  11. M

    Pamoja na Mary Chatanda kumpigia debe Kalemani ili arudi bungeni wananchi wa Chato wameapa kutomchagua tena. Hawamtaki Kalemani

    Nimepigiwa simu na mdau. Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali. Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani. Kuwa...
  12. T

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  13. Mtetezi wa Viongozi au Wananchi ?

    Kuna jambo sijafurahishwa kama Mwananchi na Mlipa Kodi...; Jana Rais ni kama ametoa excuse ya hii Crisis Kwamba hakuna Mvua na wanafanya maintenance - Hapo ni kama anawatetea watendaji na kuwapa go-ahead ya muendelezo wa kuwa mediocre.... Ningeona la maana kama angetoa maelezo kwamba hii hali...
  14. J

    Kazi kubwa ya Wanasiasa ni kujidanganya wao wenyewe wala si kuwadanganya Wananchi

    Katika modern world walichobakinacho Wanasiasa ni Kujidanganya Wao binafsi huku Wakiamini Wanawadanganya Wananchi. Wanasiasa wa Dunia ya Leo ndio wale akina Herode walioamini Wanawadanganya Mamajusi kumbe Herode alikuwa anajidanganya Yeye Mwenyewe. Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
  15. B

    Ridhiwani Kikwete: Watumishi tatueni kero za wananchi haraka kabla ya kufika kwa Viongozi wa Kitaifa

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi kutoka taasisi zote za serikali za umma kutatua malalamiko na changamoto za wananchi kwa wakati ili kuondoa msongamano wa wananchi katika ofisi za juu zaidi. Ameyasema hayo jana...
  16. Kampuni 3 zapigwa faini ya Tsh. Milioni 158.8 kwa kutumia vibaya Taarifa Binafsi za Wananchi

    Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni . Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
  17. Kwa Wananchi walio serious hili suala la umeme Tanzania lingetosha kuitoa CCM madarakani

    Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo? Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa. Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali...
  18. M

    Muda TANESCO mnakata umeme sio rafiki. Mnatesa Wananchi bila sababu

    Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana. Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni. Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.
  19. Rais Samia, wananchi wa Kakonko tunaomba barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) kwenda Mambali (Uyui)

    Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
  20. JKCI kutumia Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani kufanya vipimo vya moyo kwa Wananchi wa Dar

    Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu "Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako" wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…