wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wanawajibu wa kuhudhuria mikutano ya vyama kwa ujumla wake!

    Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
  2. JamiiForums Tanzania Sisi Wananchi Wa Tanzania Tumeamua

    SEhemu ya maneno ya UTANGULIZI wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Inasema.... KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya UHURU, HAKI UDUGU na AMANIi: NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu...
  3. JamiiForums Tanzania Itakuwa tukio la kukumbukwa pale ma-captain wa vivuko vya Kigongo Busisi watakapopanga foleni kuwaaga wananchi waliowahudumia kwa miaka zaidi ya 50

    Moja kati ya matukio muhimu ambalo nataraji litapewa nafasi, ni kwa hawa manahodha wa vivuko kuandaa kama ki-parade hivi, wakiwa na mavazi yao meupe, kofia zao, huku wakipunga bendera ya taifa kuashiria kwamba wamekamilisha kazi yao ya kishujaa kwa uaminifu na uzalendo mkubwa, na sasa wanawaaga...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Sitaacha kuhamasisha wezi wa kura washughulikiwe na wananchi

    Wakuu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa ataendelea kuhamasisha bila hofu wananchi wawashughulikie wezi wa kura kama wanavyowashughulikia wezi wengine kwenye jamii ili haki ya wananchi kuchagua viongozi wanaowataka iheshimiwe.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Ackson awaruka wabunge, asema baadhi ya kauli zilizotolewa kwenye Mjadala wa Wizara ya Mambo ya Ndani si msimamo wa Bunge

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  7. JamiiForums Tanzania Sisi wananchi tumekataa agenda pandikizi tunataka kusikia agenda za maendeleo!!

    Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita. Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati. Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine. Tunataka kusikia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega akagua mradi wa ukarabati barabara ya Mtwara-Mingoyo wa thamani ya Shilingi Bilioni 152 na Mingoyo-Masasi Bilioni 249

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja. Waziri Ulega ametoa agizo hilo tarehe 27 Mei 2025 alipotembelea na kukagua mradi wa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025

    Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa kuanza ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi mkoani humo. Akizungumza wakati wa ghafla fupi ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani aeleza Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga – Nyabiyonza – Masheli unavyonufaisha wananchi Karagwe

    Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo korofi. Akiongea katika mahojiano maalum, Diwani wa Kata ya Nyakahanga, Charles Beichumila ameeleza...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

    Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bunge limechoka kujificha, sasa ni wazi kuwa si chombo wakilishi cha wananchi bali cha kumuwakilisha Rais

    Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi ya Urais. Ajenda kuu iliyopo sasa uwe unataka ama hutaki, iwe unaizungumzia moja Kwa moja ama...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya wananchi wake sio ya watawala wanaowatisha! - Maria Sarungi

    26 May 2025 Oslo, Norway WADAU WA OSLO FREEDOM FORUM MARIA SARUNGI - "TANZANIA NI YA WANANCHI WAKE SIO YA WATAWALA WANAOWATISHA!" Mtetezi wa haki za binadamu na mwanahabari kutoka Tanzania, Maria Sarungi Tsehai, azungumza katika Jukwaa la Uhuru la Oslo kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote chaleta neema kwa wananchi wa Mtwara

    Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Dangote katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yao, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi. Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu. "Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua awataka Wananchi kuwasusia Wasanii Wakikuyu walioshiriki Kikao cha Serikali

    Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kijiji cha Andikoni (Pemba) wabeba Wagonjwa begani kutokana na ubovu wa Barabara

    Wananchi wa Kijiji cha Andikoni, Shehia Chumbageni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba walazimika kuwabeba wagonjwa wakiwa kwenye vitanda katika mabega kutokana ubovu wa barabara ili kupata Huduma za Afya. Wakizungumza na HalisiMediaOnline, baadhi ya Wananchi wamesema wanapitia wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…