Huyu mwakilishi wa UN sina Imani kutokana na UN ilivyosasa ni kama kikundi fulani cha wahuni na wahuni wanaweza kukitumia pia kuwalizisha wananchi wa nchi ya kusadikika na wasichukue hatua yoyote.
Siku hizi, ukitembelea mitandao ya kijamii, huenda utashuhudia video za kuvutia kama hizi: kijana wa Ulaya ya kaskazini akivaa viatu vizito vyenye picha za panda, anakunywa maji moto ili kuongeza afya; mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Marekani anafanya mazoezi ya Tai Chi kwa makini, na mama wa...
Wanamtandao wanakata tawi walilokalia wanafikili wataanguka walala hoi pekee?
Nawaambia tawi likikatika wakwanza kudondoka Ni mafisadi.
Wananchi hasa vijana hatuna Cha Kupoteza
Endeleeni kushupaza shingo muone tunavyoenda kuwashughulikia
Yaani mpaka sasa bado tu hamjui vijana ndani ya mfumo...
Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29...
Hajijui. Yupoyupo! Anajiendea. Hasomi mchezo. Si mbali kutokea leo. Soon as sooner. Samuya jitazame walahi. Wanamtandao washenzi sana. Set up exist Door. Kumtoa kafara ili wao wabaki salimini. Nye! Nye! Nyie! Acheni aseee! Watu wabaya nye. Na bado
Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!.
Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!.
Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena , Tumeshawajua wote Kwa Mihuri yao !!.
Sisi Nguvu zetu haziko Wazi ila ni nguvu DHAHIRI , PAWA KWELIKWELI...
Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"
hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja...
Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
Rostam ni mwanamtandao na ni yanga
Kikwete Ni mwanamtandao na ni yanga
Fatma Karume
Mwigulu
Hersi
Mavunde
Ridhiwani
GSM
Maulidi kitenge
Na wengine list Ni ndefu
Sio bahati mbaya yanga Kutoa million 100 kwa Samia
Huu mtandao ni ngumu Sana kuuangamiza
Kwa mnyukano huu jinsi ambavyo sasa umekuwa dhahiri na watu kutajana majina na kutuhumiana juu ya kifo cha Magufuli basi ni dhahiri kabisa ili wazalendo wawe wameshinda basi kwa vyovyote vile lazima wahakikishe wagombea waliojipitisha kutoka hili kundi la mtandao hawafiki siku ya kupigwa kura...
Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia.
Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole.
"Naomba Watanzania wenzangu popote...
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .
Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k
Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
Polepole ambayo ameshika nafasi nyeti kwenye chama na Serikali amethibitisha Kuna kundi Kwa jina la wana mtandao, ambalo hilo lipo juu ya serikali yaani Kwa kifupi serikali inatii kundi la wanamtandao
Pole ametaja machache
1. Kundi la wanamtandao liliweza kumtoa uhai Rais awamu ya 5
2. Kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.