Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida.
Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na...
Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha."
==
President William Ruto...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, leo Mei 27, 2025, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu jijini Dodoma, ameeleza wasiwasi wake juu ya kuwepo kwa baadhi ya Asasi za Kiraia (NGO's) ambazo, kwa mujibu wake, zinafanya...
Hivi hawa watu wanaosema wanaharakati wa Kenya na Uganda walikuja kufanya fujo aliyeziona hizo fujo walizofanya mnioneshe mimi sijaona.
Hivi hawa wana harakati walikuja kusikiliza kesi ya Lissu na hata watanzania tuliona pia walienda kusikiliza kesi hiyo hiyo wakaitwa wafanya fujo wengine...
Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka.
Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio...
Habari za Leo!
Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu.
Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao.
Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu.
Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya
Madhaifu ya serikali ya CCM...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania.
Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Mei 20, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa...
Seneta mmoja nchini Kenya ameeleza kuunga mkono hatua ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwapiga marufuku wanaharakati kutoka Kenya.
Samson Cherargei, seneta wa kaunti ya Nandi, anasema ni haki ya Rais Samia kuzuia watu wanaoingilia masuala ya nchi yake kutoka nje.
"Namuunga mkono...