wanafunzi wengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji dhahabu feki inavyochangia wanafunzi wengi kuacha masomo na kupoteza maisha katika umri mdogo hapa Bunda na hasa eneo la uswahilin

    Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
  3. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Student Investor yazidi kuvutia wanafunzi wengi UDOM

    Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana (UDOM) na TISEZA pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF), leo tarehe 23/05/2026 katika Ukumbi wa Auditorium – CIVE, wameendelea na programu ya mafunzo ya Student Investor yenye lengo la kuwajengea vijana uwezo wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa Kimaksudi na Ukatishwaji Tamaa wa Wanafunzi wa Postgraduate kutokana na Usimamizi Mbaya wa Tafiti UDOM

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate. Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana. Mfano halisi: Kuna...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  6. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Miaka minne tu, shule inakuwa bora na Wanafunzi wengi

    Habari wakuu, Wakuu Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23 hivi sasa, pia mwanafunzi wa moja ya Chuo kikuu hapa jijini na chukua shahada ya kwanza ualimu sayansi yaani bachelor of science with education mwaka wa tatu. Wakuu lengo, la kuandika Uzi huu ni kuwa Nina project...
Back
Top Bottom