WANAFUNZI 33 wa udaktari wa binadamu waliohamishwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kutoka Chuo Kikuu cha Mwanza (MzU) kwenda Chuo Kikuu cha Katoliki cha Sayansi na Afya Shirikishi (CUHAS), wameiomba serikali kuingilia kati ili kupatikana ada zao Sh. Milioni 73 zilizozuiwa na chuo hicho.
Wanafunzi...
Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini.
Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika.
Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
Anonymous
Thread
ada
chuo
kumaliza
kwanza
muhula
saut
special
wanafunziwanafunziwachuo
Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu.
Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi
Waajir...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza leo Juni...
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm.
Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM.
Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
Anonymous
Thread
pesa za kujikimu
ucheleweshaji
udsm
wanafunziwanafunziwachuo
Akichangia Bungeni leo Mei 13, Jijini Dodoma Mbunge Dr. Thea Medard Ntara Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vyuo na Vyuo Vikuu ametaka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa sakata la Wanafunzi wa Kike wa Chuo kudhalilishana wakimgombania.
Pia, Soma
Wanafunzi wa chuo kikuu...
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.
Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa.
Wakirudi majumbani...
Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae..
Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
(1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed.
(2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi.
(3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024.
Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore.
Oktoba 23, 1966.
Wananchi,
Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa.
Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya kusherehekea muziki na burudani huku wakipata ladha safi ya vinywaji vya Coca-Cola.
Tamasha hilo lilivutia...
Wa- mbulu na Wa -iraki wote ni ndugu!
Wakuu naomba mniombee sana Mungu anipatie uhai hadi mwakani!
Ndoto yangu ni kuwasaidia Watanzania (Hasa Vijana wenzangu) na Taifa Kwa Ujumla.Nimekaa nikiangalia namna Vijana wadogo waliopangiwa Kusoma vyuo hapa Dar es salaam namna wanavyopata taabu kupata...
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...